S seremi Senior Member Joined Mar 19, 2013 Posts 119 Reaction score 16 Apr 17, 2013 #21 Dik said: Sijui nami niwaserukambe hawa ccm!pumbavu zao! Click to expand... Hapana, usijaribu! Usije ukaserukambwa na wewe. Wao ni wazoefu, ndio namna yao ya kujibu hoja siku hizi.
Dik said: Sijui nami niwaserukambe hawa ccm!pumbavu zao! Click to expand... Hapana, usijaribu! Usije ukaserukambwa na wewe. Wao ni wazoefu, ndio namna yao ya kujibu hoja siku hizi.
mahogany JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 252 Reaction score 23 Apr 17, 2013 #22 Banes said: Kwa hiyo kaka ako kachaguliwa na wananchi au ccm? Click to expand... kachaguliwa na wodisii
Banes said: Kwa hiyo kaka ako kachaguliwa na wananchi au ccm? Click to expand... kachaguliwa na wodisii
F Fitinamwiko JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 4,803 Reaction score 1,419 Apr 18, 2013 #23 CCM ni wezi wa kila kitu, lakini nchi wanaipeleka pabaya. Warioba anajiangamiza mwenyewe
Temba1 Member Joined Mar 17, 2013 Posts 34 Reaction score 11 Apr 18, 2013 #24 Kuna mtu aliwahi kusema jukwaani hapa hajisumbui na masuala ya katiba mpya kwa sababu ana uhakika haitakuweko chini ya seriakali ya CCM...
Kuna mtu aliwahi kusema jukwaani hapa hajisumbui na masuala ya katiba mpya kwa sababu ana uhakika haitakuweko chini ya seriakali ya CCM...