BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,911
Wabunge wa CCM wameduwazwa na ushahidi wa lissu juu ya uchakachuliwaji wa wajumbe wa mabaraza ya katiba.PIA TUKUMBUKE JANA ITV WALIONYESHA JINSI UKIUKWAJI HUO ULIVYOFANYIKA
Katoa barua iliyoandikwa kwenda kwa viongozi wa serikali na CCM ya kuthibitisha wajumbe walioshinda ambao si wanachama wa ssm katika ujumbe wa mabaraza ya katiba waondolewe