Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!


hujui hata ukichokiandika....
 
 
 
Hivi LEMA kapotelea wapi siku hizi?

Maandamano, vurugu na uchozi kimya kabisa siku hizi

Kweli nimeamini ngoma ya kitoto haikeshi.....

Lema & Co. Walidhani na kujidanganya kuwa watanzania ni hamnazo wanaweza kufuata kila watakalosema bila kuchanganua mambo hivyo baada ya kubaini kuwa WaTZ si kama walivyowadhania sasa wameingia Mitini.
 
Lile Trekta Lema alimuuzia Mzee mmoja wa pale Daraja mbili, anaitwa KITASHO!

Afadhali NA mpuuzi kama weeeeewe unatambua kuwa kwa juhudi za mbunge LEMA wana WA ARUSHA mjini tulipata trekta Ila mizengo pinda NA maccm wenzie hawajaweka hata mipango yeyote from their own source kuwapelekea wananchi walowachagua hata Toyo pikipiki moja kwa shughuli za jimbo.... wamebaki kugombania misaada ya serikali... kwa taarifa yako kwa kipindi choote ccm ikiwaimeshika hili jimbo hapakuwahi kuwa hata NA baiskeli phonex ya jimbo leo hatakama vipi tuna trekta tuna uwanja mkubwa WA kujenga hospitali yakisasa.... unataka nini tena zote Ni kwa juhudi za mbunge wetu LEMA tutamvote mpaka kufa
 
vipi ule ujenzi wa reli mpya toka dar to mwanza unaanza lini ati sababu 2015 bado mwaka tu, vp zime meli kubwa mbili lake victoria, vp ile meli kubwa ziwa nyasa na Tanganyika, vp zile bajaji mia nne za kubebea mama wajawazito?
 
Ndugu yangu Lema ni kisiki cha mpingu. hizo unazoanza kutueleza hapa ni sera za chama kinachokata roho. Siamini kama wewe huyu Lema kama unamfahamu vizuri ni miongoni mwa viongozi jasiri wanaoweza kuwaongoza watu. mimi namfananisha na Musa aliyeongoza wana wa israeli toka misiri kwenda kanani. Sisemi kuwa mwanadamu kakamilika kihivyo lakini at least he is a dare learder in CHADEMA Party. Ahadi na hilo trekta kama kweli huongei majungu ungemwendea uso kwa uso umwulize maana yeye ni mwa watu. nakupa ushauri onana na Lema akueleze jinsi alivyotekeleza ahadi zake
 

Pole #Msukule , hujui hata ulichoandika! badala kuja na hoja umekuja na vioja! hujajibu swali unakuja na porojo za kumsifia Lema. Pole endelea kujitoa fahamu hivyo hivyo, 2015 ni kesho kutwa tu!
 
vipi ule ujenzi wa reli mpya toka dar to mwanza unaanza lini ati sababu 2015 bado mwaka tu, vp zime meli kubwa mbili lake victoria, vp ile meli kubwa ziwa nyasa na Tanganyika, vp zile bajaji mia nne za kubebea mama wajawazito?

Anzisha thread uulizie ahadi za JK, hapa tunapambana na tapeli LEMA!
 
Anzisha thread uulizie ahadi za JK, hapa tunapambana na tapeli LEMA!
inakuja si kitambo naksanya zote tutazitazama moja hadi nyingine. kwa Lema nakusanya ahadi zake zote alafu nitakuja na ninachokijua juu ya ahadi zake zote
 
inakuja si kitambo naksanya zote tutazitazama moja hadi nyingine. kwa Lema nakusanya ahadi zake zote alafu nitakuja na ninachokijua juu ya ahadi zake zote



Keh huyu msalani sijui maliwato asikupotezee muda kajitoa ufahamu kajivika pepo la uccm NA kuwa msukule WA lumumba buku7.

Anaelewa hakuna ama waziri ama raisi ama mbunge WA maccm alieweza hata kuleta jembe la plau pezi ama power tiller kwa watu WA jimbo lake Ila CDM tumeweza kuna magari ya wagonjwa instead f ahadi hewa za bajaji za wagonjwa...
Tuna matrekta... kuna foundations za kuwawezesha wasiojiweza hasa katika elimu .. tuna mambo mengi tuu from our own effort so achana nae aropokee Ila 2014 wanamchi wanajua cha kufanya
 
Reactions: keh
Akadhani ilijengwa kwa Maandamano na matamko!


ha ha ha jk alihadi meli kubwa kubwa ziwa victoria na tanganyika .kuunganusha shule zote za secondary na huduma ya internet japo hakuna computer sijui internet ya kazi gani??? Ccm wanaokusanya kodi asilimia90 ya ahadi wameshindwa iweje lembe anaeundiwa kesi za kipumbav afanye kazi?
 
Wapi Machinga Complex? wapi Stendi Mpya Ngulelo? wapi Trekta? wapi Mikopo kwa vijana? wapi Mikopo kwa kinamama? wapi Hospitali ya mama na mtoto? wapi gari la wagonjwa? wapi Helkopta ya M4C? haya endelea kutukana Gefu

...mkuuu hapo kuna tusi gani, hiyo ni equation ya jina lako tu,kumbe mmeweka meya wa kichina ili mvuruge mipango yetu...?
 
narrow thinking na watu kama msalanindo hatuwahitaji kwenye jamii inayohitaji mabadiliko,
 
mkuu kumbe ulikuwa CCM!! sasa ni nini kilikukimbiza kwenda CDM au njaa tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…