Mh. Lema mbona kwenye facebook huonekani?

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Mheshimiwa Lema , profile yako kwenye facebook haiko active? inamiss baadhi ya inaformation unahitaji kuwa supported , michango yetu kwako hata ya mawazo ni muhimu ili kukujenga zaidi kisiasa. ni matumaini yetu utaitikia wito wetu Mkuu.
 
Mwenzanko yuko busy na maandamano na kuwakimbia polisi. Akimaliza kuwakimbia anawafundisha kazi!

After all, naweza kumpa sifa kwa yeye kutoonekana facebook! big up Lema!

facebook is a destructor
 
user-offline.png
Wang'ayo

Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 25th October 2011




Posts : 14

Rep Power : 0
 
watu wengine sijui wakoje.wewe unaambiwa mtu yupo gerezani halafu unasema humuoni fb..
 
Back
Top Bottom