mh.kamanda mpinga...

Hapo hata SAA saba jua likiwka akimulika mwanga unasambaaa
 
Kamanda Mpinga na Kamanda Kahatano wa Smatra na Tanrod muangazie na mitaa yenye mwanga makubwa kwenye majumba ya barabarani nayo huleta shida
 
hilo basi likipita mtaani usiku likiwasha taa kuku wote mtaani wataamka wakidhani kushakucha, ukianika nguo usiku likawasha hiyo mitaa yake dakika kumi tu nguo zote zinakauka. Akiwasha hizotaa wakati wa mvua mvua inakatika na vumbi linatimka.
 
Aunganishwe na grid ya taifa ndio anawasha kikamilifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…