Mh. John Magufuli akipokea Malundo ya Kadi za CHADEMA baada ya kuisambaratisha UKAWA

13.jpg
Wote wamenuna kasoro mbeba bango kulikoni?????
 
Nafasi ya Urais sio nafasi ya kupata "kama zari".

Hata uwe kiongozi mzuri kiasi gani huwezi kushtukizwa na kupewa mikoba ya nchi kirahisi rahisi tu.

Lazima uwe umejipanga, umejiandaa na uko tayari.

Hotuba za Magufuli zinadhihirisha kuwa aliingia kwenye kinyang'anyiro kwa kujaribu. Membe alitangaza nia Lindi, Makamba alitangaza nia Mlimani City, Muhongo- Musoma, Mh.Lowassa;Arusha n.k.

Magufuli alitangaza nia wapi? Alitaja vipaumbele gani? Nini kauli mbiu yake? HAKUNA. Huwezi kumpa mtu 'miaka 5 ya kujiandaa' kuongoza nchi. Tunataka mtu aliyejiandaa an akiingia ikulu aanze kuongoza nchi mara moja. Kuna tofauti kubwa kati ya Magufuli na Lowassa.

Wote ni wepesi katika kufanya maamuzi. Lakini mmoja hufanya maamuzi yenye tija wakati mwingine hufanya maamuzi yenye madhara.

Tuangalie mifano: Mh.Magufuli 'alipiga' bei nyumba za serikali na leo hii serikali inatumia mamilioni kuwapangishia hotelini watumishi wake.HASARA!
✔Mh.Lowassa amesimamia ujenzi wa UDOM na kuongeza idadi ya wataalam mbalimbali nchini.FAIDA.

Ndg.Makufuli amenunua vivuko, pantoni na mashine za tiketi kwa mabilioni lakini hazifanyi kazi/ hazina ufanisi.HASARA.
✔Mh.Lowassa alisimamia ujenzi wa bomba la maji kutoka ziwa Victoria mpaka Shinyanga huku akipuuzia vitisho vya Wasudani na Wamisri vya kuhodhi matumizi ya maji ya Victoria kwa mkataba wa kikoloni.FAIDA.

Mh.Magufuli alibomoa fuel station "shell" huko Mwanza, serikali ikashindwa kesi, tukalipa mabilioni.HASARA.
✔Mh.Lowassa alivunja mkataba wa City Water, hatukushtakiwa.FAIDA.

Mh.Magufuli alikamata wavuvi "halali" tumeshitakiwa, tumedondokea pua, tutawalipa meli yao na gharama nyingine kadhaa, hapo hujajumlisha gharama za utunzaji wa wale samaki.HASARA.
✔Mh.Lowassa, wakati ndege za Malawi zishaanza kuzurura maeneo ya Kyera na Nyasa huku tukiwachekea, alitoa tamko Bungeni...."tuko imara, tumejipanga...". Wakafunga Virago.FAIDA.

Ndg.Magufuli amewanyang'anya kandarasi wajenzi kadhaa kwa matamko tu bila kuzingatia taratibu za mikataba. Wametushtaki, wameshinda, tumewalipa.HASARA.
✔Mh.Lowassa alitaka kuvunja mkataba wa Richmond, kama sio AG Johnson Mwanyika kuomba..."mapumzik ya saa moja nje ya mkutano" ili awasiliane na mamlaka ya juu na baadae kurejea na agizo kuwa..."imeagizwa; mkataba usivunjwe.." pengine leo tusingekuwa tunazungumzia Richmond, baba yake na Dowans, babu wa Symbion Powers. TUNGENUFAIKA. UCCM wangu hauwezi kunipofua nisiuone ukweli huo hapo juu. Ujirani wangu na Mh.Magufuli hapa Chato hauwezi kunishinikiza nimuazime miaka 5 ya kujiandaa badala ya kutawala. NITAMPIGIA LOWASSA. Sambaza Kw watu 20 Kw SMS, Whatsapp.Twitter, Facebook, Instragram nk.
 
MH. MWAKYEMBE AMLIPUA LOWASSA.
Mhe Mwakyembe amkaanga Lowassa kuhusu kadhia ya Richmond na kusema kuwa asikwepe maana tume ya Bunge ilimkuta na hatia na ikabidi ajiuzulu Uwaziri Mkuu. Ameeleza hayo kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais kupitia CCM Mhe JOHN POMBE MAGUFULI leo huko Kyela katika mfululizo wa kampeni za mgombea huyo. Mhe Mwakyembe kaeleza kadhia hiyo kwa maelfu ya wananchi waliokuwa wakishangilia tangu mwanzo hadi mwisho na wameahidi na kuapa kutotoa kura zao kwa Mzee Lowassa!
Alieleza kuwa leo watanzania wanalipia umeme kwa bei ya juu kutokana na uroho wa Fisadi huyo kwavile Tanesco iliingizwa kwenye mkataba mbovu na pia gharama za mabilioni zilizolipwa kufuatia mkataba mbovu na kesi zilizojiri baada ya mkataba kusitishwa!
Wakati huo huo aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe Mwakipesile, aliyestaafu ameuambia mkutano huo kuwa yeye hawezi kukihama chama cha Mapinduzi kilichomsomesha na kukulia kama mwanachama.
Hii inavunja uongo uliozushwa dhidi yake kuwa kakihama chama hicho na kuhamia Ukawa!
CCM NI KAZI TU: UMOJA NI USHINDI.
 
Mkuu; mikoani anaenda kwa chopa, hatujifanyi ati masikini kumbe tumejichimimbia mashimo wenyewe. Miaka 20 weye ni waziri wa barabara halafu unakuja nung'unika ati umeona vyema uzijue barabara zetu.
Udanganyifu wa kitoto huo. Atatembelea kila kijiji na atamaliza mikutano yake salama.Mbona Kibaki alihutubia juu ya wheelchair. We vipi??

Bora udanganyifu wa kitoto kuliko wa kiutu uzima wa kuamka Masaki na kwenda kunywa uji wa Moto kwa mtogole/Tandale.................
 
Nafasi ya Urais sio nafasi ya kupata "kama zari".

Hata uwe kiongozi mzuri kiasi gani huwezi kushtukizwa na kupewa mikoba ya nchi kirahisi rahisi tu.

Lazima uwe umejipanga, umejiandaa na uko tayari.

Hotuba za Magufuli zinadhihirisha kuwa aliingia kwenye kinyang'anyiro kwa kujaribu. Membe alitangaza nia Lindi, Makamba alitangaza nia Mlimani City, Muhongo- Musoma, Mh.Lowassa;Arusha n.k.

Magufuli alitangaza nia wapi? Alitaja vipaumbele gani? Nini kauli mbiu yake? HAKUNA. Huwezi kumpa mtu 'miaka 5 ya kujiandaa' kuongoza nchi. Tunataka mtu aliyejiandaa an akiingia ikulu aanze kuongoza nchi mara moja. Kuna tofauti kubwa kati ya Magufuli na Lowassa.

Wote ni wepesi katika kufanya maamuzi. Lakini mmoja hufanya maamuzi yenye tija wakati mwingine hufanya maamuzi yenye madhara.

Tuangalie mifano: Mh.Magufuli 'alipiga' bei nyumba za serikali na leo hii serikali inatumia mamilioni kuwapangishia hotelini watumishi wake.HASARA!
✔Mh.Lowassa amesimamia ujenzi wa UDOM na kuongeza idadi ya wataalam mbalimbali nchini.FAIDA.

Ndg.Makufuli amenunua vivuko, pantoni na mashine za tiketi kwa mabilioni lakini hazifanyi kazi/ hazina ufanisi.HASARA.
✔Mh.Lowassa alisimamia ujenzi wa bomba la maji kutoka ziwa Victoria mpaka Shinyanga huku akipuuzia vitisho vya Wasudani na Wamisri vya kuhodhi matumizi ya maji ya Victoria kwa mkataba wa kikoloni.FAIDA.

Mh.Magufuli alibomoa fuel station "shell" huko Mwanza, serikali ikashindwa kesi, tukalipa mabilioni.HASARA.
✔Mh.Lowassa alivunja mkataba wa City Water, hatukushtakiwa.FAIDA.

Mh.Magufuli alikamata wavuvi "halali" tumeshitakiwa, tumedondokea pua, tutawalipa meli yao na gharama nyingine kadhaa, hapo hujajumlisha gharama za utunzaji wa wale samaki.HASARA.
✔Mh.Lowassa, wakati ndege za Malawi zishaanza kuzurura maeneo ya Kyera na Nyasa huku tukiwachekea, alitoa tamko Bungeni...."tuko imara, tumejipanga...". Wakafunga Virago.FAIDA.

Ndg.Magufuli amewanyang'anya kandarasi wajenzi kadhaa kwa matamko tu bila kuzingatia taratibu za mikataba. Wametushtaki, wameshinda, tumewalipa.HASARA.
✔Mh.Lowassa alitaka kuvunja mkataba wa Richmond, kama sio AG Johnson Mwanyika kuomba..."mapumzik ya saa moja nje ya mkutano" ili awasiliane na mamlaka ya juu na baadae kurejea na agizo kuwa..."imeagizwa; mkataba usivunjwe.." pengine leo tusingekuwa tunazungumzia Richmond, baba yake na Dowans, babu wa Symbion Powers. TUNGENUFAIKA. UCCM wangu hauwezi kunipofua nisiuone ukweli huo hapo juu. Ujirani wangu na Mh.Magufuli hapa Chato hauwezi kunishinikiza nimuazime miaka 5 ya kujiandaa badala ya kutawala. NITAMPIGIA LOWASSA. Sambaza Kw watu 20 Kw SMS, Whatsapp.Twitter, Facebook, Instragram nk.

Mzee sio msafi wa kupewa nch, hana lpolitical legitimacy, hatuongelei legality.
 
Nipo kwenye tukio sasa hivi.

Hizo kadi nimeona wakipewa pembezoni. Tena wakapewa maelekezo wakae sehemu ya Mbele kabisa, Karibu na Mgombea ili watu wakihitajika kukusanya kadi iwe rahisi kumfikia Mgombea.

Wamepewa na pesa.... Kifanya hili zoezi.

Duh! Kweli hii Dunia ina watu! Kwa hiyo unategemea uaminike kwamba kweli uko hapo na umeona hicho kitendo kwa kuwa tu umesema?
Mbona mleta mada ameweka picha, kwa nini na wewe usiweke picha inayoonyesha wakipewaa hizo kadi kabla?
Vinginevyo hata mimi naweza pia kuandika ninavyotaka kwamba niko hapa Mbalizi na nimeona wananchi wakisema hawaitaki ukawa!
 
Mr Chin nawe haujawahi kuonaga kadi zikirudishwa siyo?

Njoo kesho majaliwa hapo jangwani na ujioneee mwenyewe!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom