Mh. John Magufuli aiteka Tukuyu na Rungwe

Mh. John Magufuli aiteka Tukuyu na Rungwe

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]MAGUFULI AHUTUBIA MIKUTANO MIKUBWA TUKUYU NA RUNGWE[/h]

  • Awaambia wananchi ataanzisha mahakama maalum kushughulikia mafisadi
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kyela waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa John Mwakangale.

Umati wa wakazi wa Kyela wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
​
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mhe. Wiliam Lukuvi akisalimia wakazi wa Kyela.
​
Mbunge wa Jimbo la Kyela Dk. Harison Mwakyembe akihutubia wakazi wa Kyela waliojitokeza kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
​
Mbunge wa Jimbo la Kyela Dk. Harison Mwakyembe akihutubia wakazi wa Kyela waliojitokeza kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
​

​
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tukuyu Sahul Amon akihutubia wakazi wa Rungwe waliojitokeza kumsikiliza kwenye mkutano wa Kampeni ambao Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
​
Mgombea Ubunge Jimbo la Busokelo Kwere Fredy Mwakibete akiwaga sera zake kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambao Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

[h=3][/h] Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Mbalizi kwenye mkutano uiofanyika kwenye stendi ya basi ambapo aliwaambia wananchi wa Mbalizi kumpa kura zote yeye na kuwapa kura wabunge na madiwani wa CCM ili aweze kufanya nao kazi kwa ufanisi.

​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa Mbalizi na kuendelea kusisitiza elimu itakuwa bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne,kuongeza maslahi ya walimu pamoja na polisi.
​

​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaimbisha wananchi wa Mbalizi wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika Mbalizi mkoani Mbeya.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akihutubia wakazi wa Mbalizi mkoani Mbeya.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakiomba kura kwa wakazi wa Mbalizi na kuwaahidi utumishi uliotukuka
​
Umati wa wakazi wa Mbalizi ukimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli(kushoto) akiwa ameinua mikono juu kama ishara ya umoja ni ushindi pamoja na Mchungaji Lackson Mwanjali (katikati) na mgombea wa ubunge wa jimbo la Mbalizi Ndugu Oran Njeza, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika stendi ya Mbalizi.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia mara baada ya kumkabidhi mgombea wa ubunge kupitia CCM jimbo la Mbalizi Ndugu Oran Njeza
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwapa mkono wagombea udiwani wa kata zilizopo katika Jimbo la Mbalizi mkoani Mbeya.
​
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wa Mbalizi mkoani Mbeya wakifurahia jambo wakati wa mkutano wa kampeni uliokuwa uihutubiwa na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
​

​

​

​

​

​

​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo kwenye mkutano wake wa kampeni za Urais kwenye viwanja vya stendi ya basi Mbalizi.
​
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Mhe. Godfrey Zambi akizungumza na Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. William Lukuvi kwenye mkutano wa kampeni za CCM Mbalizi mkoani Mbeya.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo kwa wakazi wa Mbalizi kwenye mkutano wake wa kampeni.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakisalimiana na wakazi wa kijiji cha iseche waliojitokeza kwa wingi barabarani kumsalimu.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mkwajuni wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli(kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Songwe wilaya ya Chunya Ndugu Philipo Mulugo kwenye mkutano wa kampeni Mkwajuni.
​
Wananchi wa Mkwajuni wilayani Chunya, wakiwa na vipeperushi vinavyoonyesha kura ya ndio kwa Mbunge na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
​
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Mhe. Godfrey Zambi akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni za CCM Mkajuni wilayani Chunya.
​
Mwananchi wa Mkwajuni akisoma maelezo yaliopo kwenye kipeperushi cha wagombea wa CCM.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo mara baada ya kumkabidhi ilani ya uchaguzi mgombea ubunge wa jimbo la Songwe Ndugu. Philipo Mulugo
​
Dk. Mary Mwanjelwa akionekana mwenye furaha wakati wa mkutano wa kampeni za CCM Mkwajuni ukiendelea.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwatambuisha kwa wananchi Mhe. Wiliam Lukuvi pamoja na Dk. Mary Mwanjelwa,kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Abbas Kandoro.
​
Wananchi wa Makongorosi wakiwa wamejipanga barabarani kumpokea Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
​
Mwananchi akionyesha kadi yake ya Chama na kitambulisho cha kupigia kura kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Makongorosi.
​

​
Wananchi wa Makongorosi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
​
Wakazi wa Wilaya ya Chunya wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo Mgombea wa Urais kupitia CCM alisisitiza kuwa anacho ahidi utekelezwa.

[h=3]Mh. John Magufuli ATETEMESHA NA KUTEKA, Mbalizi, Chunya na Makongorosi[/h]

​
 
sawa sisi tunaendelea kusaka hela za kampein na kumalizia uandaaji ilani, tutazindua kesho ila tutasubir haya yakamilike ndo tuanze kutembea kama magufuli
 
Hata hako ka kiwanja cha shule wameshindwa kukajaza japokuwa asilimia kubwa wamecaa jezi za CCM...ha ha ha haaaaa kweli kazi mnayo hakikaaaa
 
Mungu hamtupi msema kweli! Wewe ni Raisi wangu! Nakuombea kila siku na naamini Tanzania inakuhitaji wewe! Go Magufuli! Mbingu zote zinaimba kwa shangwe!
 
Hata hako ka kiwanja cha shule wameshindwa kukajaza japokuwa asilimia kubwa wamecaa jezi za CCM...ha ha ha haaaaa kweli kazi mnayo hakikaaaa
Angalia usipasuke mishipa ya shingo
 
Akiongea na wakazi wa Mbeya Jimbo la mbarali amesema nilichukua fomu kimya kimya na wala sikuwa na wapambe zaidi ya Dereva, wala sikumuhonga mtu hata mmoja, anayesema nimemuhonga ainue mkono juu? Hakuna hakuna makofi uwanja mzima,
 
Hapo kamtaja wapi Lowasa?.au ni nanihiii tu??

Aseme kuhusu nyumba za serikali, vivuko na barabara mbovu
 
Umati unaoonekana kupitia picha za mgombea urais kupitia CCM ni za kutengeneza kwa kompyuta ( Animation). Picha nyingine zinaonekana ni za miaka ya 2005 za rais Kikwete alopokuwa kwenye kampen huo mwaka. Magufuli hana uwezo wa kuwashawishi nyomi lote hilo ili kuja kumckiliza.
 
[h=2]
[/h]
​

  • Awaambia wananchi ataanzisha mahakama maalum kushughulikia mafisadi
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kyela waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa John Mwakangale.

Umati wa wakazi wa Kyela wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
​
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mhe. Wiliam Lukuvi akisalimia wakazi wa Kyela.
​
Mbunge wa Jimbo la Kyela Dk. Harison Mwakyembe akihutubia wakazi wa Kyela waliojitokeza kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
​
Mbunge wa Jimbo la Kyela Dk. Harison Mwakyembe akihutubia wakazi wa Kyela waliojitokeza kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
​

​
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tukuyu Sahul Amon akihutubia wakazi wa Rungwe waliojitokeza kumsikiliza kwenye mkutano wa Kampeni ambao Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
​
Mgombea Ubunge Jimbo la Busokelo Kwere Fredy Mwakibete akiwaga sera zake kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambao Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

timu ya ccm ya kampeni mitandaoni mnastahili nishani ya ubogasi...mko shallow mno!!!!!!
 
Kutomhaga Mtu, Kutosindikizwa Na Hata Kutowaambia watu Nia Ya Kuwaongoza Wala sio sifa ya Kuongoza Taifa. Hizi zote Ni Dalili za

Kutokujiamini, Kuficha Makosa Usisemwe Kabla. Mwisho Kabisa Ni Ishara ya Kutokuwa Na Maandalizi na Utayari wa Kuliongoza Taifa.

Hii Haiwezi Kuwa Sifa ya Kiongozi Shupavu Tunaemtaka Kwa Sasa. Ilikuwa Ni Vema Kujipambanua Mapema watu Wakusome na Kukukosoa

Ili Wajue Kama Unazo Sifa za Uongozi Kama Sio Manager wa Kusimamia Mabarabara.
 
Akiongea na wakazi wa Mbeya Jimbo la mbarali amesema nilichukua fomu kimya kimya na wala sikuwa na wapambe zaidi ya Dereva, wala sikumuhonga mtu hata mmoja, anayesema nimemuhonga ainue mkono juu? Hakuna hakuna makofi uwanja mzima,

Hiyo nayo ni sera ya kutusaidia watanzania?.
 
Kwa nini mnatumia nguvu sana kumnadi huyo magufuli na wakati huo aliuza nyumba za serikali na kuwatukana watu wa kigambo?

Swissme
 
Hivi UKAWA wanaanza lini mikoani tunataka kulinganisha nyomi
 
Back
Top Bottom