Kwanini unaogopa namna hii?Kwa nini mnatumia nguvu sana kumnadi huyo magufuli na wakati huo aliuza nyumba za serikali na kuwatukana watu wa kigambo?
Swissme
Hii mada imekosa wachangiaji ngoja niende ile ya mkesha wa ukawa jangwani
Natizama Star TV mBEYA HAIJAMKUBALI MGOMBEA WA ccm hata Mgombea ubunge Shitambala wanababaika na kusikitisha sana hawa jamaa
Akiongea na wakazi wa Mbeya Jimbo la mbarali amesema nilichukua fomu kimya kimya na wala sikuwa na wapambe zaidi ya Dereva, wala sikumuhonga mtu hata mmoja, anayesema nimemuhonga ainue mkono juu? Hakuna hakuna makofi uwanja mzima,
Mara hii amesahau kuwa alimhonga mpenzi wake nyumba ya serikali?Akiongea na wakazi wa Mbeya Jimbo la mbarali amesema nilichukua fomu kimya kimya na wala sikuwa na wapambe zaidi ya Dereva, wala sikumuhonga mtu hata mmoja, anayesema nimemuhonga ainue mkono juu? Hakuna hakuna makofi uwanja mzima,
natizama star tv mbeya haijamkubali mgombea wa ccm hata mgombea ubunge shitambala wanababaika na kusikitisha sana hawa jamaa