MH RAIS- Tatizo la umeme ni kubwa sana ,uchumi wa nchi unashuka,elimu inashuka ,umaskini unazidi kuongezeka.ushauri wangu fanya maamuzi magumu kopeni fedha kwenye mabenki ya ndani na mnunue jenereta ili kutatua tatizo,mh rais ukifanya hivi utajijengea heshima na imani kwa wananchi