Mh. January Makamba, urais sio sawa na kucheza filamu

Elineema J Mosi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2013
Posts
808
Reaction score
148
Wanajamvini,Nawasalimu.
Nimelazimika kuanza na hiyo kauli hapo juu kutokana na unyeti wa habari yenyewe.
Nitakuwa namwendelezo wa kutoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayoikabili Tanzaniakwa kutumia mifano hai na kumbukumbu rasmi zilizopo Tanzania.

"Ni bora Simba wakali mi
a moja walioko Nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani ["Godbless JonathanLema].
Haya maneno aliwahi kuyatoa Mbunge Lema, nayafananisha na kijitabualichokitoa Mh. January Makamba. Namheshimu sana [ Hata yeye anajua hilo!]lakini sina budi kusimamia ukweli na kukemea pale inapobidi!. Tanzania hii iliwahi kupata viongozi vijana wengi tu lakini historia inaonyesha waliwahi kuligarimu Taifa kutokana na ufinyu wa kufikiri na uharaka usiokuwa na tija!.Mfano Mh Raisi Kikwete, ndiye anaonekana kuwa Raisi kijana kuliko wote waliopata nafasi hiyo kwa siku za usoni lakini makubwa aliyoifanyia taifa hakuna !!!!!? aliwahi kuwa Waziri akiwa na miaka 38 tu?. Hivyo Umri sio kigezo cha kutushawishi kukupa uongozi!!!. Uraisi sio sawa na kucheza filamu?.

Pili, Vijana tulio wengi hatuitaki ccm, yaani tunayavumilia sana majani hata hiyo rangi tungeiteketeza kabisa!!!!. Ukiona kijana yupo ccm jua lazima anapata mnofu? Vinginevyo hakuna au Baba yake aliwahi kuhudumiwa naccm hivyo na yeye anatega mpira?. Kutokana na sababu hii makini kabisa tunakuomba sana tena sana [Nakuheshimu sana Mkuu, hata wewe unajua hilo]usituharibie sifa ya ujana wetu kwa kutaka Makuu wakati bado unastahili kuwa nasubra baadae kama wataka nafasi hiyo ukaipata [ila kupitia chama kingine Mkuu].Kutunga kitabu kinachoelezea kuhusu Tanzania mpya ni maneno tu ambayo kwamtazamo wangu hayana uhalisia wowote ule.

Tatu,Nimewahi kuona watu wengi sana hasa walioko ndani yaccm wakikana maandiko yao yaliowahi kuwapa PHD, mfano DR. Harrison Mwakembe aliwahi kuzungumzia muungano wa serikali tatu kwenye kitabu chake lakini baadaye kupata tu ubunge hatimaye uwaziri kwenye uhalisia akaja kukana maandiko yake mwenyewe hivyo na hii Tanzania mpya ulioitazamia pindi utakapo pata nafasi basi itakuwa hivyo hivyo Mkuu , nakushauri egemea kwenye nini umewahi kuwafanyiaWatanzania na imebaki kama historia nasio utawafanyia nini tukikupa nafasi [uzoefu ni lulu Mkuu popote pale Duniani].Mh Nasari aliwahi kusema nanukuu ''CCMNI KAMA UKOO WA PANYA,BABA MWIZI MTOTO MWIZI'' [Ukikasirika niombee].
Mwisho, Tanzania inahitaji kikongozi mwenye hofu ya Mungu [yaani mwenye hata kahistoria ka kuwa shehe,padre au hata mchungaji jamani] kutokana na sababu kuu moja kuwa Tanzania ni nchi pekee Duniani ambayo haina ''NationalPolicy'' mtu akipata nafasi ya uwaziri tu anaweza kusema futa somo lahesabu kwa shule za msingi watasoma wakiwa sekondari kisa mwanae halipendi au kwasababu tu ya uswahiba na rafiki yako unaamua tu kuanzia kesho wewe utakuwa Mkuu wa wilaya [ kwa mfano tu wadau huyo jamaa alikuwa muuza chipsi leo anapata zali la kuwa mkuu wa wilaya]. Tunataka kiongozi mwenye hofu ya Mungu ili tutengeneze hizo policy kwanza maana nchi ipo pabaya.
Ila kiukweli nakupongeza kwa kutangaza nia na sio kwa kutoa kitabu, tuachie tukupime nini aulichowahi kuifanyi taifa hili Mkuu. Niombee kwa aliyekasirika. Nawatakia sikunjema
By
Elineema J Mosi
CPA[T]-Arusha,Tanzania.
 
Huyo January sijui February ni utoto na ulevi wa kimagharibi plus ujana unamsumbua.

Bumbuli imemshinda ataweza nchi?

Mie namsubiri aote kwanza nywele.
 
Eti mwenye historia padre, haaaaaaaaa haaaaaaaaaaaa, utakaa sana subiri moto unakuja na padre wako, jiandae kisaikologia, kama uwezi meza wembe hamna cha padre hapa
 
huna jipya umekaa kimlengo wa siasa flani hv za watu wako ulio wa quote
 
Eti mwenye historia padre, haaaaaaaaa haaaaaaaaaaaa, utakaa sana subiri moto unakuja na padre wako, jiandae kisaikologia, kama uwezi meza wembe hamna cha padre hapa

Wewe inaonekana ni pagani kabisaaa
 
Vijana tulio wengi hatuitaki ccm, yaani
tunayavumilia sana majani hata hiyo rangi
tungeiteketeza kabisa!!!!. Ukiona kijana yupo ccm
jua lazima anapata mnofu?

Hapo Tu Pamemaliza hoja yote.
Ntungepata watu 1,000,000/- nikiwamo mimi.Nchi hii isingekuwa hivi ilivyo...Vijana tumelala sana.
 
January Makamba hakuna kitu pale; Kuna radio mshenzi ( Cloud FM), leo alikuwa anaongea na watangazaji wale ambao niliovyowasilikilza niligundua walikuwa wanacheza utoto, zaidi ya ze comedi;

Eti J.Makamba anajisifia kuwa yeye ni Modal na akiingia duka la ngua zinamchukua takiribani dakika si zaidi ya Tano anapata nguo yake tena inayompendeza. Haya ndio dizini ya mwaswali aliyokuwa anaulizwa; kwamba si wewe ni modal???.

Vitangazaji uchwara vile vinaanza kumsifia eti hata mtaani watu wanamwita Obama wa TZ, hivi kweli Makamba anazo sifa a kuitwa Obama?, Watangazaji wa hiyo radio uchwara au radio Mipasho nimewashangaa sana.

Kuandika kijitabu cha kuokoteza maneno toka mtaani ni jambo moja na kuwa Mkuu wa nchi ni jambo jingine.
Huyu Kijani akae atulie na hana ubavu wa kuitoa TZ hapa ilipo; Mziki wa nchi hii kwa sasa hauwezi ebu aendeleleze usanii huko kwao Bumbuli.
 
Tanzania haitaji viongozi wenye hofu ya Mungu kimagumashi huku wakiwa na a/c nono Mkombozi Bank! Tanzania inahitaji kiongozi mwenye maono ya maaendeleo, anaejua kuwa Cheo ni dhamana na anakuwa tayari kuwajibika na kuwawajibisha wenye kushindwa kuwatimizia wananchi! Tanzania inamhitaji kiongozi mwenye kutekeleza miradi yenye maslahi kwa wananchi regardless miradi husika inaweza kukinzana na sera za mataifa eg. KASHWASA... Hatutaki viongozi wenye kujiita waadilifu ilhali wanang'ang'ania madarakani na wako tayari kusigina katiba ili waendelee kufisadi rasilimali za nchi...
 
Vijana tulio wengi hatuitaki ccm, yaani
tunayavumilia sana majani hata hiyo rangi
tungeiteketeza kabisa!!!!. Ukiona kijana yupo ccm
jua lazima anapata mnofu?

Hapo Tu Pamemaliza hoja yote.
Ntungepata watu 1,000,000/- nikiwamo mimi.Nchi hii isingekuwa hivi ilivyo...Vijana tumelala sana.

Tupo pamoja mkuu
 
Wanajamvini,Nawasalimu.
Nimelazimika kuanza na hiyo kauli hapo juu kutokana na unyeti wa habari yenyewe.
Nitakuwa namwendelezo wa kutoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayoikabili Tanzaniakwa kutumia mifano hai na kumbukumbu rasmi zilizopo Tanzania.
"Ni bora Simba wakali mi
a moja walioko Nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani ["Godbless JonathanLema].
Haya maneno aliwahi kuyatoa Mbunge Lema, nayafananisha na kijitabualichokitoa Mh. January Makamba. Namheshimu sana [ Hata yeye anajua hilo!]lakini sina budi kusimamia ukweli na kukemea pale inapobidi!. Tanzania hii iliwahi kupata viongozi vijana wengi tu lakini historia inaonyesha waliwahi kuligarimu Taifa kutokana na ufinyu wa kufikiri na uharaka usiokuwa na tija!.Mfano Mh Raisi Kikwete, ndiye anaonekana kuwa Raisi kijana kuliko wote waliopata nafasi hiyo kwa siku za usoni lakini makubwa aliyoifanyia taifa hakuna !!!!!? aliwahi kuwa Waziri akiwa na miaka 38 tu?. Hivyo Umri sio kigezo cha kutushawishi kukupa uongozi!!!. Uraisi sio sawa na kucheza filamu?.

Pili, Vijana tulio wengi hatuitaki ccm, yaani tunayavumilia sana majani hata hiyo rangi tungeiteketeza kabisa!!!!. Ukiona kijana yupo ccm jua lazima anapata mnofu? Vinginevyo hakuna au Baba yake aliwahi kuhudumiwa naccm hivyo na yeye anatega mpira?. Kutokana na sababu hii makini kabisa tunakuomba sana tena sana [Nakuheshimu sana Mkuu, hata wewe unajua hilo]usituharibie sifa ya ujana wetu kwa kutaka Makuu wakati bado unastahili kuwa nasubra baadae kama wataka nafasi hiyo ukaipata [ila kupitia chama kingine Mkuu].Kutunga kitabu kinachoelezea kuhusu Tanzania mpya ni maneno tu ambayo kwamtazamo wangu hayana uhalisia wowote ule.

Tatu,Nimewahi kuona watu wengi sana hasa walioko ndani yaccm wakikana maandiko yao yaliowahi kuwapa PHD, mfano DR. Harrison Mwakembe aliwahi kuzungumzia muungano wa serikali tatu kwenye kitabu chake lakini baadaye kupata tu ubunge hatimaye uwaziri kwenye uhalisia akaja kukana maandiko yake mwenyewe hivyo na hii Tanzania mpya ulioitazamia pindi utakapo pata nafasi basi itakuwa hivyo hivyo Mkuu , nakushauri egemea kwenye nini umewahi kuwafanyiaWatanzania na imebaki kama historia nasio utawafanyia nini tukikupa nafasi [uzoefu ni lulu Mkuu popote pale Duniani].Mh Nasari aliwahi kusema nanukuu ''CCMNI KAMA UKOO WA PANYA,BABA MWIZI MTOTO MWIZI'' [Ukikasirika niombee].
Mwisho, Tanzania inahitaji kikongozi mwenye hofu ya Mungu [yaani mwenye hata kahistoria ka kuwa shehe,padre au hata mchungaji jamani] kutokana na sababu kuu moja kuwa Tanzania ni nchi pekee Duniani ambayo haina ''NationalPolicy'' mtu akipata nafasi ya uwaziri tu anaweza kusema futa somo lahesabu kwa shule za msingi watasoma wakiwa sekondari kisa mwanae halipendi au kwasababu tu ya uswahiba na rafiki yako unaamua tu kuanzia kesho wewe utakuwa Mkuu wa wilaya [ kwa mfano tu wadau huyo jamaa alikuwa muuza chipsi leo anapata zali la kuwa mkuu wa wilaya]. Tunataka kiongozi mwenye hofu ya Mungu ili tutengeneze hizo policy kwanza maana nchi ipo pabaya.
Ila kiukweli nakupongeza kwa kutangaza nia na sio kwa kutoa kitabu, tuachie tukupime nini aulichowahi kuifanyi taifa hili Mkuu. Niombee kwa aliyekasirika. Nawatakia sikunjema
By
Elineema J Mosi
CPA[T]-Arusha,Tanzania.

Ndg yangu ukiwa ndani ya CCM;ni qualification ya kujitangaza ugombea maana hata wenyewe wameona Uraisi ulivyorahisihwa."Kijana huyu hana lolote wala si lolote"
 
January Makamba hakuna kitu pale; Kuna radio mshenzi ( Cloud FM), leo alikuwa anaongea na watangazaji wale ambao niliovyowasilikilza niligundua walikuwa wanacheza utoto, zaidi ya ze comedi;

Eti J.Makamba anajisifia kuwa yeye ni Modal na akiingia duka la ngua zinamchukua takiribani dakika si zaidi ya Tano anapata nguo yake tena inayompendeza. Haya ndio dizini ya mwaswali aliyokuwa anaulizwa; kwamba si wewe ni

modal???.

Vitangazaji uchwara vile vinaanza kumsifia eti hata mtaani watu wanamwita Obama wa TZ, hivi kweli Makamba anazo sifa a kuitwa Obama?, Watangazaji wa hiyo radio uchwara au radio Mipasho nimewashangaa sana.

Kuandika kijitabu cha kuokoteza maneo toka mtaani ni jambo moja na kuwa Mkuu wa nchi ni jambo jingine.
Huyu Kijani akae atulie na hana ubavu wa kuitoa TZ hapa ilipo; Mziki wa nchi hii kwa sasa hauwezi ebu aendeleleze usanii huko kwao Bumbuli.

Watu Wanaka tonge mkuu, Tusikubali kudhalilishwa vijana
 
Huyu Hafai kabisa aliwahi kumkebei mama mmoja wa kimarekani aliyekuwa anashangaa uchumi wa tanzania kudorola wakati tuna kila kitu, Mama wa Familia ya kitajiri ambaye huwa anatoa misaada katika afrika, alifika hapa 2004 mkate ulikuwa unauzwa Tshs 400, Sukari 350 baada ya utawala wa jk sukali ikafika 2000 mwaka 2012, kama kuna mtu anakumbuka atuwekee hii habari tumchambue huyu mbumbu wa mambo ya uchumi.
 
Ahame chama na asubiri wakati wake.
 
Mkuu Mimi naomba nipingane na wewe pale unapotaka tuangalie ametufanyia nini badala ya atatufanyia nini. Tanzania ijayo inahitaji mtu mwenye kusema atafanya nini kwa kuwa asilimia kubwa ya population ni vijana na watoto. Hatujali about past tunataka future nzuri. Though siamini kama January anaweza kuleta future nzuri kwa Tanzania ijayo
 
Back
Top Bottom