Mh. January Makamba anamdanganya nani?

Mh. January Makamba anamdanganya nani?

January ni mnafiki. Nimemueleza ukweli Facebook akaniblock hahaha! Ukweli unauma.

Ukishaona mtu anaweza kuiba mtihani, basi mtu huyo anaweza kufanya chochote katika maisha yake ili afanikiwe...sioni cha ajabu kama anaweza kudanganya ili kujipendekeza kwa wananchi.... ndani ya Chama chetu CCM tuna viongozi karibu 65% wa aina hii.....
 
January ni mnafiki. Nimemueleza ukweli Facebook akaniblock hahaha! Ukweli unauma.

...kumbe ina-run on the Family! Kuna wakati huko nyuma nilim-challenge dada yake kwenye issue fulani inayohusu Vodacom, solution aliyoona yeye ikawa ni kuni-blockFB! Spoiled ***!:tape:
 
Wabunge wengi waliopitisha hoja hii majimbo yao ni giza ndio maana hawakuona hasara kupitisha hoja hiyo. Ila swali la msingi ni kuwa kwanini zilifanyika njia za panya kuipitisha hoja hii? Pili,yeye alikuwa wapi? mawaziri wengine hawakuliona? Au yeye anatafuta kura za '15 baada ya kuona wananchi wamechachamaa?
c.c mizambwa, DAVIES
 
Back
Top Bottom