Mh hii Kali

Mh hii Kali

ludoking

Senior Member
Joined
Oct 5, 2008
Posts
124
Reaction score
71
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa. Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini? Wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake. Majibu yalikuwa hivi:

1. Unaota au?

2. Umekumbwa na nn?

3. ??!! Makubwa!

4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani.

5. Leo sikusamehe najua kuna kitu.

6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?

7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.

8. Wewe sema unachotaka.

9. Leo hunipati ng'o!

10. Nani mwenzangu?
 
Ndiyo maana watu wanapata pumziko la amani kwa small house.
 
CC: @kyakomuhona KOKUTONA Mamndenyi Paloma Aine Ennie hahahahaaaa bila kuwasahau wapwa zangu wapendwa MANI Mentor hebu nadhani hii inawahusu pia CYBERTEQ na tinna cute
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa. Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini? Wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake. Majibu yalikuwa hivi:

1. Unaota au?

2. Umekumbwa na nn?

3. ??!! Makubwa!

4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani.

5. Leo sikusamehe najua kuna kitu.

6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?

7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.

8. Wewe sema unachotaka.

9. Leo hunipati ng'o!

10. Nani mwenzangu?
 
Last edited by a moderator:
Waliozoea mingumi utawajua tu!haaaaaaaaa!!! Haaaaaaaaaa!!!!!! Haaaaaaaaa!!!!!!!!!!
 
4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani.

Duh!! huyu aliyejibu hivi sio siri alimaanisha...hahaha!!
 
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa. Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini? Wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake. Majibu yalikuwa hivi:

1. Unaota au?

2. Umekumbwa na nn?

3. ??!! Makubwa!

4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani.

5. Leo sikusamehe najua kuna kitu.

6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?

7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.

8. Wewe sema unachotaka.

9. Leo hunipati ng'o!

10. Nani mwenzangu?

hili jibu zuri sana
 
Majibu haya yanaashiria kwamba ni nadra sana kwa mume kumwandikia mke wake kwamba anampenda. Kwa mantiki hiyo mke anaona kama ameona miujiza kuandikiwa meseji ya nakupenda mke wangu.
 
Hi inaashiria udhaifu wa ndoa hususan zinazojengwa kwa matofari ya vitu na anasa....Ndoa hizo hushamiri km uwezo wa kumudu mahitaji hayo upo.... na husambaratika mara kunapokosekana uwezo wa kugharimia anasa hizo. Ndoa zinazojengwa kwa misingi ya upendo wa kweli na ya kumtanguliza Mungu mbele ni nadra kukumbwa na mitikisiko kama hiyo.
 
Tatizo la wanaume wengine neno nakupenda kwa mkewe ni nadra sana ndio sababu ya majibu hayo!
 
Back
Top Bottom