Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 9,493
- 14,356
Wewe unapoona mtoto wa kiume, tena anayecheza namba ngumu uwanjani kama dimba dogo anajidekeza ujue hakuna usalama hapo...mkuu hebu funguka basi...
Haahaaa! Wewe... siyo bure, utakuwa ni mshabiki wa moja kati ya hizi; Man u, Arsenal au Real Madrid!!!Nilijua tu!
Kule kudekadeka kwa kina Pedro sio bure...
Haahaaa! Wewe... siyo bure, utakuwa ni mshabiki wa moja kati ya hizi; Man u, Arsenal au Real Madrid!!!