Mh! enrollment ya mwaka huu UDOM ni shida

Mh! enrollment ya mwaka huu UDOM ni shida

Mr. BK

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
99
Reaction score
35
Hii kali aisee
 
Attachments

  • 1415565780304.jpg
    1415565780304.jpg
    55.4 KB · Views: 744
Ni nouma itakua wale wa diploma maalumu nahis
 
anatoka utawala hapo anapita jiwe la msingi anaenda haiti/bondeni.

hapo hajajua bado akifika room akiona analo yeye mwenyewe block zima ndo ataanza kujishtukia.

na semester ikiisha harudi nalo.
 
anatoka utawala hapo anapita jiwe la msingi anaenda haiti/bondeni.

hapo hajajua bado akifika room akiona analo yeye mwenyewe block zima ndo ataanza kujishtukia.

na semester ikiisha harudi nalo.

Itabidi awauzie wajasi wafugie njiwa aisee
 
vyuo vimwgeuka sawa na kuanza form one miaka ya 1990. hata form five anauafadhari
 
Back
Top Bottom