Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,691
- 5,041
hahah..sawa nimekupata mwana ila yote haya tumshukuru yeye kwa kuvipa uhuru vyombo vya habari ndio maana tunaweza kuongea hembu jaribu kukumbuka zama za ukweli na uwazi kipindi kile tungeweza kuongea hivi.? wazo tuu
Kwa hiyo unataka kusema kwamba huo "ukweli na uwazi" tulio nao hivi leo ni sababu ya ridhaa ya JK, na siyo maendeleo ya kiteknolojia, utandawazi na hata sheria tulizo nazo za uhuru wa kujieleza?
Heshima Mbele kwa Wadau na wachangiaji woote wa JF, nimekuwa nikifuatilia kwa kipindi kirefua sana forum hii na michango na post mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwekwa humu, nyingi zikiwa za kuelimisha jamii juu ya yale yanayoendelea TZ, Africa na Dunia kwa ujumla, Hongereni sana kwa kazi hii njema ya kuelimisha jamii,
nami kwa kujiunga leo hii nitajitaidi kwanza kujielimisha na michango mbalimbali humu lakini pia kuweza kutoa nami mawazo au mchango japo mdogo kwa wanajamii kuchangia kwa lengo la kupanuana mawazo.
Ningali mgeni jamvini japo sina kamba mguuni naomba kuelimishwa namna njema au hatua za kuanza kupost mijadala kwa wana jamii kuanza kuchangia, bado sijajua namna ya kuanza mbali ya kouna hii Quick Reply.
Asanteni.
amani iliyoko kenya na hapa TZ zina tofauti gani? kigezo cha kuigundua amani ni kipi? mbona hatujampa ya hapa kwetu kwa kuidumisha hiyo amani? watanzania tuna amani? nikipata haya majibu nitasuuzika kweli
Hater kwa sababu kauliza?
Nchi yeyote ile inayojivunia amani, benki hazivunjwi na mabomu, watu hawauwani kama inavyotokea huko Tarime na wala watu wake enye ulemavu wa ngozi hawauwawi na wanasiasa kwa imani za kishirikina!! Kama kuna mtu anabisha angoje mara tu chaguzi zitakapoanza na jinsi maalbino watakapoanzankutoweka!!
au kauliza kwa sababu ni hater?
Ninachopenda kuhusu Tanzania,ni uhuru wa kutoa maoni. Mtu anaweza kusema Rais ajiuzulu. Katika nchi nyingine,kama Uzbekhistan,ukimshauri Rais kujiuzulu,unaweza kutupwa katika tank ambayo imejaa hydrochloric acid.
Ni lazima tutofautishe kati ya President na Presidency. Kama unataka kuwa Rais,usiseme kwamba '' President Jakaya Kikwete has got too mant powers.'' Akiachia ngazi,na wewe ukishika hatamu,what are you going to do with a weak Presidency?
jana wakati natazama taarifa ya habari ITV niliona hayo maaandishi kwa chini kuwa Jakaya sasa ni PhD holder. wadau mtuambie, since when? au ndio zile za online? au ndio zile za heshima?