Mh. Dr. Jakaya Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Dr. Jakaya Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Raia Fulani, Aug 4, 2009.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  jana wakati natazama taarifa ya habari ITV niliona hayo maaandishi kwa chini kuwa Jakaya sasa ni PhD holder. wadau mtuambie, since when? au ndio zile za online? au ndio zile za heshima?
   
 2. s

  sangkipsigis Member

  #2
  Aug 4, 2009
  Joined: Dec 24, 2008
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni doctorate ye heshima aliyopewa na Jomo Kenyatta University kutokana na mchango wake wa kuleta amani Kenya baada ya vurugu ziizotokea baada ya uchaguzi wa 2008
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  It's an honorary doctorate.Kama Nyerere alikua nazo kibao.
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kama ni stahili hii nadhani kuna watu kibao wanazistahili hizi hapa bongo na kwingineko
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hi Hater!
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  amani iliyoko kenya na hapa TZ zina tofauti gani? kigezo cha kuigundua amani ni kipi? mbona hatujampa ya hapa kwetu kwa kuidumisha hiyo amani? watanzania tuna amani? nikipata haya majibu nitasuuzika kweli
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  unafika mbali. una ubia na jakaya?
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Waulize hicho chuo cha Kenya wata kuambia vigezo walivyo tumia kumpa hiyo doctorate. Tanzania hatuwezi kumpa doctorate ya kudumisha amani kwa sababu hiyo amani kaikuta na ni wajibu wake kama raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kudumisha hiyo amani.
   
 9. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hater kwa sababu kauliza?
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  namshangaa huyu mtu anayeungua (Burn). nadhani kuna maana nyingi za amani, na JK akitaka hiyo amani ya kweli hapa bongo atekeleze yale anayoweka katika maandishi na kauli zake. sasa katangaza kilimo kwanza. atekeleze hiyo sijui sera au azimio au kauli mbiu ndio atajua maana ya amani bongo.
   
 11. M

  Magezi JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mambo mengine haya hitaji hata kupoteza muda mnajadili, kama wamempa PhD si yake na sidhani inaharibu nini kwa nchi yake. Sisi tunacho mgombeza JK ni kutoshughulikia kero za waTZ, mambo ya degree zake ni yake binafsi.
   
 12. W

  WildCard JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hata Amani Karume naye ni Dr! Hivi alisoma wapi digrii ya kwanza?
   
 13. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Phd zingine muangalie pa kuziweka.Pengine wala hazifit.Hivi kweli JK kuitwa Dr.hata kama ni wa bure nyie na hao waliompa mnamwonaje mtu huyu?Siyo kwamba inapwaya kabisa si mahali pake???
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kwa taarifa yako degree ina koneksheni na utendaji mkuu. hatutegemei mtu awe na shahada halafu afanye madudu. ina konekshen na ambo yanayotendeka bongo
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  waelezee. tukisema sie tunaonekana haters
   
 16. M

  Mbongo Orijino New Member

  #16
  Aug 4, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima Mbele kwa Wadau na wachangiaji woote wa JF, nimekuwa nikifuatilia kwa kipindi kirefua sana forum hii na michango na post mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwekwa humu, nyingi zikiwa za kuelimisha jamii juu ya yale yanayoendelea TZ, Africa na Dunia kwa ujumla, Hongereni sana kwa kazi hii njema ya kuelimisha jamii,

  nami kwa kujiunga leo hii nitajitaidi kwanza kujielimisha na michango mbalimbali humu lakini pia kuweza kutoa nami mawazo au mchango japo mdogo kwa wanajamii kuchangia kwa lengo la kupanuana mawazo.

  Ningali mgeni jamvini japo sina kamba mguuni naomba kuelimishwa namna njema au hatua za kuanza kupost mijadala kwa wana jamii kuanza kuchangia, bado sijajua namna ya kuanza mbali ya kouna hii Quick Reply.
  Asanteni.
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hapo nimetumia Quote kunukuu maneno yako. pia kwa kwa msaada zaidi soma JF rules. ukifuata taratibu utakuwa mtaalam mara moja
   
 18. Komamanga

  Komamanga JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  hahahah... mkuu heshima mbele. yaaani hii kuuliza yote ni sababu JK ama? acheni chuki za kishamba mbona waliopita karibia wote walikuwa nazo.Kwani PhD yake wewe inakufisadi nini hasa?
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  bahati ya kumjadili imemdondokea yeye safari hii
   
 20. Komamanga

  Komamanga JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hahah..sawa nimekupata mwana ila yote haya tumshukuru yeye kwa kuvipa uhuru vyombo vya habari ndio maana tunaweza kuongea hembu jaribu kukumbuka zama za ukweli na uwazi kipindi kile tungeweza kuongea hivi.? wazo tuu
   
Loading...