Nikijaribu kufikiria mtu sahihi ambaye ccm wamsimamishe 2015 Ni B. W. Mkapa. Sababu kubwa nilioiona kuwa mkapa anafaa ni kuwa huyu mzee hajawahi kupwaya ktk uongozi wake alipokuwa Rais. Alipambana na mfumuko wa bei, thamani ya shilingi ilikuwa nzuri tofauti na sasa, na uchumi ulikuwa uko vizuri tofauti na sasa. Kwa mfano k-shs 1000/= ni sawa na t-shs 18650/=. Mkapa hakuwa mtu wa kubabaishwa na alijiamini pale anapofanya maamuzi magumu. Kama ccm inataka mtu sahihi 2015 basi imsimamishe Ben Mkapa.