MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,159
- 5,400
Tikiti Sokoni linauzwa sh elf 4 mkulima shamban anauza sh 500. Kama waziri atakua anaangalia bei zilizopo sokon na kusema mkulima ana faidi basi tutegemee hali mbaya kwa wakulima. Wafanyabiashara na madalali watakua wameshangilia sanaKauli ya Mheshimiwa bungeni kuwa bei iliyopanda ya mahindi ni faida kwa wakulima hakika si kweli na uwazi kuwa hujui tabu za wakulima.
Mahindi huanza kuvunwa mwezi wa 4 hadi wa 7 na ndiyo miezi ambayo wakulima huhitaji mazao yao yanunuliwe na serikali au na wafanyabiashara kwa bei nzuri ili waweze kulipa ada na mahitaji mengine.
Kwa bahati mbaya, serikali hainunui bali huwaachia wafanyabiashara wanaonunua kwa bei ya kunyonga na wakati huu wakulima maghala yamekauka wananunua mahindi waliyouza mteremko kwa walanguzi.
Leo Waziri anasema mkulima anafaidika wakati sio kweli, anayefaidika ni mfanyabiashara kwa sasa. Waziri usipende kupata sifa za uongo wakati serikali kuhusu kilimo ilishachemka.
Mahindi yote yanayouzwa bei ghali yanatoka katika maghala ya wafanyabiashara na sio wakulima.
Waziri rudi ukajiridhishe sioni mipango mizuri ya kumuokoa mkulima zaidi ni propaganda tu.
Huo ndo ukweli na nilimaanisha hicho.Tikiti Sokoni linauzwa sh elf 4 mkulima shamban anauza sh 500. Kama waziri atakua anaangalia bei zilizopo sokon na kusema mkulima ana faidi basi tutegemee hali mbaya kwa wakulima. Wafanyabiashara na madalali watakua wameshangilia sana
Yana bei kubwa yapo mikononi mwa wafanyabiashara siyo kwa wakulima.Mkuu kwani wewe mkulima wa mkoa gani?
Mbona huku kwetu mahindi yana bei kubwa saana??
Kauli ya Mheshimiwa bungeni kuwa bei iliyopanda ya mahindi ni faida kwa wakulima hakika si kweli na uwazi kuwa hujui tabu za wakulima.
Mahindi huanza kuvunwa mwezi wa 4 hadi wa 7 na ndiyo miezi ambayo wakulima huhitaji mazao yao yanunuliwe na serikali au na wafanyabiashara kwa bei nzuri ili waweze kulipa ada na mahitaji mengine.
Kwa bahati mbaya, serikali hainunui bali huwaachia wafanyabiashara wanaonunua kwa bei ya kunyonga na wakati huu wakulima maghala yamekauka wananunua mahindi waliyouza mteremko kwa walanguzi.
Leo Waziri anasema mkulima anafaidika wakati sio kweli, anayefaidika ni mfanyabiashara kwa sasa. Waziri usipende kupata sifa za uongo wakati serikali kuhusu kilimo ilishachemka.
Mahindi yote yanayouzwa bei ghali yanatoka katika maghala ya wafanyabiashara na sio wakulima.
Waziri rudi ukajiridhishe sioni mipango mizuri ya kumuokoa mkulima zaidi ni propaganda tu.
Anatangaza bei ya mahindi wakati mahindi tumevuna tangu mwezi Wa Tano? Tumewauzia wafanya biashara huko mjini, leo hii bei inauzwa Mara nne ya tuliyouza...
Halafu waziri anasema wakulima tunafaidika,
Hivi katembelea huku mashambani au analima kwenye magodown?
Nimecheka mpaka basi.Kabla hajakaribishwa mezani Bashe
View attachment 1263492
Uko sahihi lakini huo ukulima wa kisasa una maandalizi yake haufanywi kiholela bila miundombinu ya gharama.Mleta mada bado upo mbali sana. Mahindi siku hizi yanavunwa mara 4 kwa mwaka. Anza kulima kisasa ufaidike, achana na mazoea.