malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,911
- 4,689
Hapana haikua inajulika alikua mdomo unakaua alafu mara kwa mara anaskia kiu akawa anakunywa maji sana nakukojoa sana ,akila tu baada ya mda anaskia njaa Tena,ndo juzi nkapewa taarifa anajuskia vibaya sana hawez Toka kwenda mihangaikoni ndo wakampeleka hospital ya mtaani kupimwa akakutwa na sukar hiyo ya34 na presha ya 140 /90..ndo kureferal amana Nako ndo tumekumbana na huduma duniIlikuwa inajulikana toka mwanzo au ndo kagundulika kua diabetic?
Mkuu fedha sio tatizo kabisa ...maana tunaambiwa ziko nyingi hospital TMJ,aga Khan,Hindu mandali,regency hatujui ipi Bora yenye madaktar wazur wasukari na vifaa boraIwapo fedha sio tatizo mpeleke Aghakan. Huenda huko akatibiwa na madaktari hao hao wa serikali, lakini kwa huduma ya haraka.
Unaishi wapi kwanza iliturecommend sehemu zilizokaribu nawe
Nataka kumhamisha hii hospital ..ndo nimekuja kwenu wadau mnambie hospital Bora zaid kwa sukar yenye wataalamu wazur na vifaa kwa hapa dar iwe private au govtPole sana,mbona umri wake ni mdogo sana au anao tokea mdogo!kama huridhishwi na hiyo huduma hapo muhamishie hospitali kubwa zaidi ya hiyo...
Jaribu kumpeleka mwananyamala hospital ndugu yangu alipatiwa huduma pale japo ni muda kidogoHabari wakuu,
Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.
Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.
Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali
Hawataki wanasema wasifundishwe kazi watatoa watapoona inafaaPole sana. Amana wampe rufaa aende Muhimbili.
Muhimbili tena book kwenye private section.Habari wakuu,
Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.
Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.
Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali
Kama pesa sio tatizo mpeleke mgonjwa wako AGA KHAN HOSPITAL (ile kubwa ya mjini city center karibu na ocean road). Wako proper sana, hautajuta. Kipengele chao huwa ni kwenye GHARAMA tu, kama hiyo sio issue, fanya hivyo HARAKA.Mkuu fedha sio tatizo kabisa ...maana tunaambiwa ziko nyingi hospital TMJ,aga Khan,Hindu mandali,regency hatujui ipi Bora yenye madaktar wazur wasukari na vifaa bora
34???Habari wakuu,
Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.
Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.
Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali
Uwe mvumilivu ukileta ujuaji utampoteza ndugu yako , Sukari sio Malaria kwamba ukipewa ALU unaponaHabari wakuu,
Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.
Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.
Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali
Mkuu najua ila sio kwahuduma naziziona hapa ...hivi mkuu ww unataka kupata taarifa za maendeleo ya mgonjwa wako unamuuliza NES anakufokea anakufukuza anakujibu njoo bas umuhudumie ww hapo utasema kunahudumaUwe mvumilivu ukileta ujuaji utampoteza ndugu yako , Sukari sio Malaria kwamba ukipewa ALU unapona
Poleni. Kama pesa sio ya kujadili, mpeleke Aga Khan (main) ya mjini. Huduma utapata bora kabisa, japo mfuko utatoboka kweli kweliMkuu mgonjwa anaishi tabata na alianzia matibabu hospital za mtaani tabat wakamshindwa wakamrefferal amana