Mgonjwa kagoma kutoa password

Hahaaa!! huyu jamaa kiboko,anadhani akifa atazikwa nazo?
 
Safi sana hii,wakiona namba zako za siri watakuua hao ili wachukue mshiko
 
Hao wengine, sijui. Ila nina uhakika huyu mgonjwa UKAWA.
 
Yuko sahihi imagine anayekutibu anataka aipate password ya kadi yako na kuna million kadhaa za dollar sianaweza kumaliza huyo jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…