Mgonjwa aliyefanya ziara

Mark my words

Siku maadui zake wakiisha, ataanza kula marafiki.
 
Surface arguments
 
Taja vifungu vya sheria sio unaitajataja tu neno sheria, haijulikani ni sheria, kanuni ipi ama utaratibu upi? labda unazungumzia sheria ya ndoa na mirathi? Hatukuelewi ujue...
 
Alikutaarifu kuwa anafanya zuara unajua maana ya neno ziara au unasukumwa na ushoga mlionao hapo ccm pamoja na mapunga wenzio mliopo hapo ccm. Subirin tuwanyooshe na mtanyooka tu.
Tulia wewe kijana, utamnyoosha nani wewe? Hii ni nchi sio genge la wahuni watukana matusi. Omba omba akitua Bongo ana kesi ya kujibu msaliti mkubwa
 
Hivi kusema watu wanatekwa ni kashfa wakati ni ukweli? Wanashambuliwa ni kukashifu nchi wakati yeye mwili mzima umecharazwa mikasi? Ulitaka akamsifie jiwe?
Haya yote sawa,je nini kilimzuia kujanza fomu ya tamko la mali?
 
Haya yote sawa,je nini kilimzuia kujanza fomu ya tamko la mali?
Kwa vile yuko hospitali na Mali ziko nyumbani Tanzania. Hawezi kujaza Mali na madeni kwa kuambiwa na familia. Ujue fomu hizo ni kiapo (affidavit) lazima ujaze ukweli unaoujua
 

..lakini si alionekana akitembea kwa kutumia MAGONGO?

..na CCM walikuwa wakimcheka kuwa amekuwa amekuwa kilema!

..na katika ziara hiyo TL alieleza kuwa angerejea Ubelgiji kwa operation ambayo ingekuwa ya mwisho ktk mguu wake.

..mimi nadhani Spika alipaswa kuwasiliana na TL kabla ya kuchukua hatua ya kumfukuza.

..Spika alipaswa kumsikiliza TL ili kujiridhisha kama ni mtoro, au kuna matibabu anaendelea nayo.
 
Hopeless argument to come from only a very hopeless mind.

Mleta hoja ni mwendawazimu mwingine. Kigwangala alipopata ajali, siku ya pili tu alizungumza na vyombo vya habari. Je, alikuwa amepona?
 
Yana mwisho. We chekelea tu.
 
Ujinga ni majaliwa na wewe mmejaliwa nao.
 
...Pole sana Wakili wangu lakini hili ni fundisho la usaliti kwa Taifa lako hao tunaowaona wa maana kamwa hawachafui Serikali zao nje ya Nchi yao na wanafata na kuheshimu Sheria.

Hii ni Nchi na Taifa huru hacha kujichetua
Jamaa limbukeni sana. Alifikiri akimtuhumu rais kuwa hajui Kiingereza basi ndio wazungu watamuona wamaana sana. Ona sasa anavyotapatapa na hicho kizungu chake cha kuombea maji.
 
Kumbe apollo ni hospital ya masofa ila ndugai alipanga floor moja ya hotel India akiishi kama malaika ila baada ya ziada ya lisu nadhani hii ni remote kutoka magogoni lissu nalipa pesa zangu bado anaichafua serekali yangu kwanini? Mfuate ubunge akija nitapamba nae
 

Kwani hayo matibabu yake ni ya kipindupindu useme aliwekwa kwenye quarantine? Ni wagonjwa wangapi tunaona wako kwenye matibabu lakini wanatoka hospitali na kurejea mara moja au 2 kwa wiki, mwezi nk? Au kwa akili yako matibabu ni lazima ushinde hospitali tu? Uzalendo ni kupigwa risasi kwa amri ya mtawala na kujinyenyekeza?
 
Jamaa limbukeni sana. Alifikiri akimtuhumu rais kuwa hajui Kiingereza basi ndio wazungu watamuona wamaana sana. Ona sasa anyotaptapa na hicho kizungu chake cha kuombea maji.

Anajua kiingereza? Labda tuanzie hapo, ni vyema kama huna hoja ukapiga kimya.
 

Jiwe ndio aliagiza ashambuliwe kwa lengo la kutoa uhai wake, huko nje anasema ukweli juu ya aliyewagiza hilo shambulio fullstop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…