Mgongo wa chura

Mgongo wa chura

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
Hivi haya magari ya aina hii yaeishia wapi siku hizi . Sijayaona kitambo !
 

Attachments

  • mgongo wa chura.jpg
    mgongo wa chura.jpg
    76 KB · Views: 232
Hahaaaa.. kuna siku tunajiandaa kwenda bichi, ile kupigwastati tu tulishtuliwa na waliopo nje,........ gali inawaka motoooo!
tukatoka faster na kuanza kuzima kwa mchanga, dah safari ya bichi ikayeyuka.<o😛></o😛>

 
Back
Top Bottom