Mgongo unaungua kwa moto

rifwima

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
507
212
Hello The JF Drs.

Naomba ushauri kuhusi hili tatizo:

Ni kama miezi miwili sasa I am experiencing kama naungua moto hivi sehemu ya nyuma mugongoni kuanzia sehemu ya shingo hadi mitaa ya kiunoni. Mwanzo nilifikiri labda ni stress lakini naona tatizo liko constant. Sababu inaweza kuwa nini na nifanyeje kuondokana na tatizo hili.

Jamii ni kila kitu, Naomba ushauri wa kitabibu tafadhali?
 
Back
Top Bottom