ngoja niikuzeHapo ktk picha ni mgomo wa walevi wakishika mabango wakishinikiza wapewe haki yao. View attachment 261104 ilikuwa mwaka1931
Je Unahisi huku Tanzania watu wakinyimwa haki hiyo wanaweza kugoma?
View attachment 261107Mkuu mbona Tanzania wamepewa hiyo haki au hauoni hapo
Hapo ktk picha ni mgomo wa walevi wakishika mabango wakishinikiza wapewe haki yao.
![]()
Ilikuwa mwaka1931

[/QUOTE
Umejuaje kuwa ni walevi? Kwa vile umeona mabango ya bia? au we ni wa dini ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mkuu mimi ndo nimeposti picha na najua source usilete udini hapa hao walevi. Mimi pia ni mnywaji ila situmii bia.
Seriously? Nilikuwa sijui. Embu nipe statistics
Mkuu mimi ndo nimeposti picha na najua source usilete udini hapa hao walevi. Mimi pia ni mnywaji ila situmii bia.
Are you sure?
Ukilinganisha wagomaji hao wa majuu na hiyo ya walevi wa bongo tofauti ni kubwa hasa kwa matumbo, jamaa hawana vitambi, inabidi tufanye research beer zao zinatengenezwaje?
Ofcourse Alafu sitaki udini hapa.
Mbona unanitisha? Udini kwa vipi? Basi bwana naona unakuwa mshari!