mwaka jana mdogo wangu nilimwambia apply udom alikataa katakata na kusema udom ina sifa mbaya ya udini, na vile vile ni chuo cha kata ambacho ni mtaji wa ccm katika kupata kura
Usahili ni mchakato mrefu sana na ni wengi wanaohusika ila mwisho wa siku atakayeajiri ni dvc utawala!!!!!!! ninayo mifano mingi mizuri ingawaje siyo ya Udom, unakuta anayepewa nafasi zaidi anaachwa kutegemeana na mwenye maamuzi ya mwisho ana interest gani.