MLIPAKODI
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 234
- 90
[22:28, 9/04/2015] mlipakodi: KWA madereva nako kimenuka
Ijumaa tarehe 10/04/2015 Kutakuwa na Mkutano Wa madereva wote Tanzania nzima. Mahali pa kukutania ni ubungo stand ya mabasi saa moja kamili. Kufika kwako ndio ukombozi wetu sisi sote kwani ni lazima tuionyeshe hii serikali iliyokataliwa kuwa sisi madereva ni wasomi na tunajitambua.
Tunamaanisha madereva wote sio tu wa pikipiki, bajaji, tax , mabasi , malori bali namaanisha dereva yoyote yule. Usipofika utakuwa umeiunga mkono serikali hii iliyokatalawi na wananchi na umeisaport ili kila baada ya miaka mitatu dereva urudi darasani kusoma na ada itakuwa ni Tsh. 500,000/= badala ya kurinyiu leseni
NB:
Mbunge wa ubungo Kijana aliyeonyesha uwezo mkubwa wa kuchambua kanuni za Kibunge pia The Super Intellectually wa ubungo Mh. sana JOHN JOHN MNYIKA atakuwepo.
Na upatapo ujumbe huu sambaza kwa njia yoyote ili uijuayo.
[22:36, 9/04/2015] mlipakodi: TANGAZO.
Kuanzia kesho Saa 6 mchana Barabara Ya TUKUYU, NANENANE, MWANJELWA, SOKOMATOLA, STAND KUU Kwenda TUNDUMA, Na mzunguuko, wote wa MBEOYA mjin,. zitafungwa hairuhusiwi, mtu, gar, pikipiki, wala chochote kukatiza kwasababu. mimi nitakua najifunza BAISKEL wajulishe na wenzio.
Ndio ujumbe unaosambazwa Leo.
My take hii serikali inaelekea wapi kama Kila kunapokucha migomo has secta nyeti kama biashara na usafiri n.k?