Mgomo wa Simu Utafeli...

Huyo mzee niliwahi kupenda post yake ya hadithi tu! Kuna wakati huwa nashindwa kuelewa kama huwa anawaza nini.
 

Pointi yako ni ipi..
 
Mkuu mbona povu wakati wewe mwenyewe hujui kitu. Mimi ni mkazi wa Nyololo stendi hizi porojo zenu pelekeni huko. Kwa kifupi wanasiasa ni watu wabaya sana, hupenda kujitazama wao tu. Kwanini wafuasi ndiyo wanakufa?

Hapo stand ndipo palitokea mauaji ya mwangosi?(rip)
 

Hii nimeipenda...
 
Hongera sana, ona hii sms nimetumiwa kutoka kijijini: 'Bado kidogo tu; itakuwa ukimpigia mtu utakuwa unasikia hivi: SAMAHANI, MTEJA UNAYEMPIGIA ANADAIWA KODI YA LAINI YA MWEZI; TAFADHALI MCHANGIE TUMFUNGULIE LAINIYAKE...Mtajuta mbona, maisha bora kwa kila mtanzania.'
Sasa mtu wa namna hii ukimwambia kesho kuna mgomo lazima atashiriki.
 
Huyo mzee niliwahi kupenda post yake ya hadithi tu! Kuna wakati huwa nashindwa kuelewa kama huwa anawaza nini.
hata mimi huyu jamaa mwanakijiji simwelewi bana,yani ni mfitini aliekubuhu.
 
Hawa wanataja "kodi za simu", hawa wanataja "upatikanaji wa gesi"... lakini sisi tunatajaa "KUWAONDOA MADARAKANI MWAKA 2015".

Wacheni watafute vya mwisho mwisho... lakini ukweli utabaki kuwa ukweli wananchi tumewachoka.
 
Huyo mzee niliwahi kupenda post yake ya hadithi tu! Kuna wakati huwa nashindwa kuelewa kama huwa anawaza nini.

Huyu jamaa mtoto wake kesho akienda shule incase of anything yeye atakuwa hewani kupewa taarifa, lakini wabongo anawashauri wapotezee habari za watoto wao.

Yaani jamaa anaona watu wajinga saaaaaana!!!
 
Jaman wa Tz tuamke kwa nini kila cku sisi tunatumiwa na watu.Hata katika familia baba anapoamua maamuzi tofauti huji kusikia watoto wanaandamana kwa kukataa kufanya kazi za nyumbani au vitu vingine vinavyohusiana na kuijenga familia but huwa baba akikaa akitulia watoto au mtoto mkubwa huenda kuwawakilisha wenzake kwa baba kwa madai ya kupunguza hiyo adhabu au kubadilisha na ikiwezekana kuiondoa kabisa.Akili ya kuambiwa changanya na yako, Naupenda sana huu msemo na huwa napenda kuutumia katika mazingira yanizungukayo. Je wana JF pamoja na wa Tz wenzangu
tunafanya hivo?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huyu jamaa mtoto wake kesho akienda shule incase of anything yeye atakuwa hewani kupewa taarifa, lakini wabongo anawashauri wapotezee habari za watoto wao.

Yaani jamaa anaona watu wajinga saaaaaana!!!

Mungu atalinda watu wake...kwani kabla ya simu maisha hayakuwepo? Wewe usigome, acha wenye uchungu wagome, faida na hasara watazipata wao... hakuna anaelazimishwa kuingia kwenye mgomo, kila mtu hapa akili ya kuambiwa amechanganya na yake akapata jibu hivyo ataamua mwenyewe baada ya jibu
 
mzee mwanakijiji yuko u.s anapiga cm eti anahamasisha mgomo tz huyu mzee ni janga la nchi yetu aje agomee hata tz.

Sio kaenda kucheki akaunti za wakubwa zetu kule zina hali gani?.
 

Kwa sababu mgomo umeshafeli, wewe ukizima simu unakuwa kama mtu aliyeishiwa betri tu...
 

Hizo red tu.
- Wenye kuitakia mema nchi yetu ndio wale wanaojaza mikataba na kuiweka kuwa siri wananchi wasijue hata nini kinaendelea?
- wenye kuijenga nchi yetu je ndio wale ambao wao fedha zote wanaweka uswis?, Je ndio hao wanaowaambia mafisadi warudishe fedha bila hata kuwaweka wazi wala kuwawajibisha?, Je ndio wale ambao wanaongeza max za watoto ili waonekana wamefaulisha?, Je ndio wale ambao wakiugua hata mafua wanaenda kutibiwa nje ya nchi?
- Uwakilishi wa Bunge, Unaongelea wale wale wanaoitikia Ndiooooooooooooooooo bila hata kusoma makabrasha? Je ndio wale wale walio waliotumia busara kupitisha kodi hii?

Hebu uwe unatufafanulia vizuri jamani, Inaniuma sana kuona kuwa ukipiga simu kwenda nchi za magharibi ni chee kuliko kupiga simu hata ndani ya Afrika Mashariki.
 
Wengine biashara zao zote zinategemea simu, wakizima simu hiyo hasra watakayopata ni zaidi ya kulipa hivyo vikodi vya shilling 1000 kwa miaka 20 ijayo.

Huyu Mzee Mwanakijiji haitakii mema nchi hii. Nchi ilimshinda kwa uvivu wake akakimbilia USA anakula pesa za ulemavu asiokuwa nao.
 
Hahahahahaha s.l.p 15 Kigoma, treni ikikwama no mawasiliano...

Ndugu unashangilia treni kukwama.......!!!!!????? unaniliza sana, CCM si ndo wameitelekeza Kigoma kwa kuinyima Maendeleo kisha unaropoka kama unaharisha!!! -------.

Hivi kweli unaamini Tanzania inastahili kuwa hapa ilipo!!????? licha ya maliasili zote ilizonazo???????????????

Kweli FISI na MBWA ni tofauti!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kweli aliyetuloga watanzania kweli ameshakufa. maana huu upuuzi wa serikali dhaifu kuwakanda miza wananchi wake na kujinufaisha matumbo yao huku sisi vijana mpaka sasa hatujui maisha yanaendaje ila nyie mnaoishabikia ccm na huu ujinga inawezekana ni baba zenu au ndugu zenu mnataka tu kutukandamiza sisi endeleeni kujipigia makofi nyie si ndiyo mmefanya nchi hii kuwa na matabaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…