Mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Analogia Malenga, Mar 9, 2012.

 1. Analogia Malenga

  Analogia Malenga JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nimesikitisha na vifo vya raia wenzangu wanaokufa kwa sababu ya mgomo unaoendelea. Lakini nasikitika zaidi kuona serikali kuleta ubabe badala ya suluhu. Kauli za kusema kwamba jumanne madocta warudi kazini hii ni kauli ya kibabe ya serikali huku ikidhihirisha kwamba hawapo tayar kutatua matatizo ya madaktar.
  bado nina wasiwasi kwamba je ni kwel serikal inawajal wananchi?kama inawajali kwa nini madocta wasisikilizwe ili kunusuru maisha ya watanzania. Kama ni pesa kwa nini wasiwape, wanapata wapi pesa za kukimbiza mwenge na kufanya sherehe zisizo na maana kama uhuru wa bendera.
  mgomo huu una madhara kwa walala hoi. Sasa kwa nini serikal isiwajal madocta ili kumnusuru mwananchi. nnacho jifunza ni kwamba serikal inajal sana wanasiasa,kuliko watu muhimu kama madocta. Wanachofanya madocta sio kizur lakini ndio njia pekee ya kufanikiwa. Mgomo mwema!
   
Loading...