Mgomo wa madaktari vs Msiba wa actor! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari vs Msiba wa actor!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Thinker96, Apr 10, 2012.

 1. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyu si mwingine ni yule yule mkali wa safari ambaye bado safari 63 amfunike vasco da gama kwa kuwa ndiye anayeshikilia record ya kusafiri safari nying duniani kuliko kiumbe yeyote yule je atazikamilisha kwa muda mchache uliobakia?..niachane na hilo mkali wetu kaamua kwa busara zake kuahirisha safari zake kutokana na mazishi ya actor kama kawa kino ndo atakuwepo baba rizmoko ambaye ndo huyuhuyu aliyekwea pipa na kwenda uko kipindi kile cha mgomo wa matabibu wanafaamika kama madaktari na ni yuleyule aliyekwea pipa na kuacha ndugu zetu wa gongo la mboto wazikane leo nimeamini kwel ****** anapenda kukaa mahala ambapo mazuri tu ndo anahisi yatazungumziwa ongeza na kumbukumbu zingine ulizonazo juu ya huyu mutu ya musoga...
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Huyo ndo baba liz
   
 3. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,681
  Likes Received: 871
  Trophy Points: 280
  Ungeitundika kule kwenye jukwa la naniliu lilee, mmmh nanii banaa dah, jukwaa la, la..., la si hasa kama sikosei, ungepata comment za kufa mtu!
   
 4. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  mkuu umeniwahi nami nilikua na idea kama hii...... kwakweli hata mi nimelifikilia hilo
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Lipi hilo?
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Rizmoko ongea na mshua.
   
 7. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
   
 8. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
   
 9. M

  MOSSAD JACOB Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  coni mnacho lalamika kwani kipindi mnachagua hamkuona?kazi aliyokuwa nayo kabla ni mambo ya nje so kukwea mara kibao na cha zaidi yote yeye ni msaani hauski hata tangazo lake clouds na bado alikuwa na ndoto za kucheza movie na marehemu.
   
Loading...