Wengine wanaofaidi hali hii sindio hao kama kina Dr Ngoma anabeba chemotherapy anakwenda kuuza kwenye hospital yake hawa ni wauaji kabisa mkuu.Misscommunication, umasikini wa akili uliokithiri, woga, kukata tamaa, ubinadamu wa mshumaa au ni nini? Kama ni kweli am dissapointed.
Mlitaka nini? Manake this time wananchi wako nyuma yenu, mnashindwa au na nyie binafsi, mnafaidi hii hali?
Mi nadhani kuna jinsi individual doctors wanafaidi kuwepo na hali mbaya mahospitalini.
Mfano manunuzi feki, kugawana madawa, facility zao binafsi kuuza pale za serikali zinazowalipa zinaposhindwa kutoa huduma
Hizi sasa stori! Unajua majuzi madaktari wa Kenya walifanya nini? We are not organised pamoja na shule zetu tunazidiwa hata na watu wa daladala!!mgomo wa madktari sio kama wa makonda wa kupaki magari au wa rubani kusubiri kuona ndege hairuki ndo uone mgomo. Dr kuwepo sehemu ya kazi sio kuwa hajagoma. au mpaka mnataka atembee na sindano mikononi ndo muelewe?mgomo baridi ni mbaya zaidi,subiri muone!