Mgomo wa kutoa unyumba mpaka barabara ijengwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa kutoa unyumba mpaka barabara ijengwe

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kimbweka, Jun 28, 2011.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  [TABLE="width: 491"]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]Zaidi ya wanawake 250 wa mji mmoja nchini Kolombia wameanza mgomo wa kuwapa unyumba waume zao ili kuishinikiza serikali iifanyie marekebisho barabara inayoingia mjini humo.
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"] Wanawake katika mji wa Barbacoas wanaamini kwamba iwapo wataanza mgomo wa "kuibana miguu yao" kwa kuwanyima unyumba waume zao, basi waume zao watalazimika kufanya jitihada za kuishinikiza serikali yao kuijenga barabara inayoingia mjini humo ambayo iko kwenye hali mbaya sana kiasi cha kuhatarisha maisha yao.

  Kwa miaka 20, serikali iliahidi kuifanyia marekebisho ya barabara hiyo inaoingia kwenye mji wa Barbacoas ambao una jumla ya wakazi 40,000 lakini haijawahi kutimiza ahadi yake, limeripoti jarida la Wall Street Journal.

  Hivi sasa inawachukua watu masaa 10 kuweza kusafiri umbali wa kilomita 56.

  "Wanawake hawa na watu wote katika mji huu, tumechoshwa na ahadi hewa za serikali", alisema Lucelly Del Carmen Viveros, mtetezi wa haki za binadamu kwenye mji wa Barbacoas.

  "Hii ndio barabara pekee inayouunganisha mji wa Barbacoas na miji ya karibu nchini lakini ipo katika hali mbaya sana", aliongeza Viveros.
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  HII IMEKAAJE WAKUU HASA KWA HALI YA KISIASA TULIYONAYO HAPA KWETU???????????
   
 2. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  huu uongo mtupu,barabarani tunaongea maneno mia ngoja tufike chumbani ukishikwa mkono tu husemi hata neno moja halafu kesho unatoka unadanganya wenzako .
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  teh teh teh nimeipenda hiyo duh haya mmmmhh
   
 4. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  nani ata-audit kuwa mgomo unasimamiwa na wanachama wote? mgomo unahusisha pia nyumba ndogo na zile za biashara?
   
 5. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni furaha kwa nyumba ndogo. Ingekuwa hapa kwetu wasingekubali hili.
   
 6. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kama serikali ndo imekuoa basi ninyime unyumba uone,
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Punguza hasira mkuu
   
 8. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,727
  Likes Received: 8,292
  Trophy Points: 280
  On the contrary wangewapa unyumba mpaka wajisahau kwenda kazini..ama hata wakienda, wanaenda wamechokaa na wanasinzia tu ofisini to the extent uzalishaji unakuwa mdogo...ndipo serikali ingechukua hatua za haraka zaidi!
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  najitolea kuwakagua kila monii.....nitajua nikikuta kumeloana najua kobosto iliingia
   
Loading...