Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,193
- 926
Tujadiliane hii hoja kwa mapana na kisayansi zaidi.
Mgomo gani utakua na athali kubwa zaidi kati ya wanaume na wanawake wakigoma kufanya tendo la ndoa
Karibu kwa mjadala kila hoja iwe na sababu.