Mgomo wa daladala

Mgomo wa daladala

Yugu

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
1,080
Reaction score
329
Salaam wana Jr.

Kuna mgomo wa daladala kituo cha Jamatini Dodoma. Nipo kwenye eneo la tukio na sababu ya madereva fikia hatua hiyo ni kutokubaliana na sheria ya level seat.

Dala dala za UDOM ndo hazipo kabisa kwa kua wao ndo vinara wa kubabanisha wanachuo ka ndizi. Mgomo huu umeathiri abiria wengi hasa wanafunzi wa UDOM kwa kua ndo abiria waliojaa hapa kituoni.

Kwa taarifa ni kwamba mazungumzo kati ya uongozi wa madereva na askari wa usalama barabarani bado yanaendelea kituo kikuu cha polisi kwa kua kuna baadhi ya daladala zimekamatwa.

Nashindwa weka picha kwa kua bado sina hako kautaalamu ila ndo kinachooendelea hapa eneo la tukio.

Nawasilisha ila kina Tomaso bora mpite kimya.

 
pandeni pikapu,boda,baj,lift vichwa.:embarrassed1:
 
Police wa muwe na busala kubwa sio mnasubilia mgomo ndio mnatafuta suluhu
 
Waje na Dar waweke hiyo level seat waone
 
Back
Top Bottom