Mgomo wa daladala

Mgomo wa daladala

Mtembea_peku

Senior Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
135
Reaction score
1
daladala zote jijini mwanza zimegoma leo kuanzia saa 3 asubuhi kushinikiza bei ya nauli za daladala zipande kutoka 250 to 300 kwa route fupi n 450 to 500 kwa route ndefu kutokana na bei kubwa ya mafuta ..Habari ndio hiyo ukali wa maisha unapanda kwa kasi zaidi nguvu zaidi na ari zaidi...source..mimi na ndugu zangu waliotembea kwa mguu kufika kazini.
 
Back
Top Bottom