Madereva Dalala jijini Mbeya wameanza mgomo wao ambao wamedai utadumu kwa muda wa wiki moja kutokana na kuzitaka Bajaji kuacha kutumia ruti ambazo zinatumika na dalala.hali hii imekuwa kero kwa wananchi wa jiji hilo
Kama ni kero kwa wananchi, mbona hawajagoma ama kuandamana Wananchi wenyewe? Jamaa hawataki ushindani kabisa, na usikute wanapambania Monopoly ili wageuke miungu watu kunyanyasa abiria.