bado una makorongo ya kutishaIle barabara imesharekebishwa?
Sababu ni ongezeko la ghafla from 500 to 1000.wamekuja hapa viongozi na matrafiki wamewaambia watoe gari kwa 500 then watakua na kikao SA tano asubuhi but madereva bado wamegoma wamesema wanasubiri mpaka hiyo saa tano kwasababu wana malalamiko mengi na hii Leo imekua kama starting point.
Huna habari kwamba Mzungu anataka 90bl Unadhani Zitapatikanaje bila kukamuana namna hiiSababu ni kupandishwa kwa tozo ya maegesho....hawataki hilo ongezeko
Hata kama lakini si kwa ushuru huo.Huna habari kwamba Mzungu anataka 90bl Unadhani Zitapatikanaje bila kukamuana namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app
...unajua hizo 90bl haziko kwenye Bajeti ya Serikali kwahiyo Lazima itafutwe namna yakumlipa MzunguHata kama lakini si kwa ushuru huo.
Wana sababu nyingi mojawapo ubovu wa Barabara ya kuingiaHakuna kusafiri kituo cha daladala cha mawasiliano asubuhi hii kwa wanainchi kutokana na mgomo wa daladala wa ghafla ktk kituo hicho.
Sababu za mgomo hazijulikani!!!
sijui,ila tuliona meya anampa Victor Wanyama mtaa.sijui ndio kipaumbele cha manispaa yake.
Hakuna kusafiri kituo cha daladala cha mawasiliano asubuhi hii kwa wanainchi kutokana na mgomo wa daladala wa ghafla ktk kituo hicho.
![]()
Sababu za mgomo hazijulikani!!!
=====
Waendesha daladala wa kituo cha mawasiliano wagoma baada ya kupandishiwa ushuru wa kuingia kituoni kutoka sh 500/= kwenda sh 1000/=
Madereva na makondakta wanalalamikia ushuru huo mkubwa kutolewa na wakati huohuo miunfombinu ya kuingia kituoni kama vile barabara ni mbovu na pia matrafiki wanawakamata ovyo ovyo!
Hali ni mbaya kwani hakuna usafiri na hivyo wafanyakazi wamebaki kuhangaika hapa wasijue cha kufanya!
Kwa hiyo ni kwamba haziingii tu mawasiliano!!??Mm natokea Tabata na Daladala inaishia River Side