bestunlocksolution JF-Expert Member Joined Dec 19, 2014 Posts 212 Reaction score 57 May 20, 2015 #61 je? mgomo wao umeleta mafanikio ya kugoma kwaoo?
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,275 May 20, 2015 #62 Mchuja Nafaka G said: sasa mabomu ndio yatamaliza matatizo ya wanachuo? Click to expand... Na wameshaagiza deraya za kutosha. hawa ccm sijui wanatumia nini kufikiri
Mchuja Nafaka G said: sasa mabomu ndio yatamaliza matatizo ya wanachuo? Click to expand... Na wameshaagiza deraya za kutosha. hawa ccm sijui wanatumia nini kufikiri
M mwasu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 10,161 Reaction score 11,559 May 20, 2015 #63 Hata ikulu kuna mgomo wa unyumba ni vile tu haitanzazwi.
mzalendo J Member Joined Sep 20, 2014 Posts 56 Reaction score 9 May 20, 2015 #64 Pumbavu hao buum na siasa vinaendaje kama huna boom n ww hiyo n aki ya mwanafunzi nyie ndusti
M mshunami JF-Expert Member Joined Feb 27, 2013 Posts 4,253 Reaction score 1,945 May 21, 2015 #65 Daudi Mchambuzi said: matatizo ya nchi hii yanatatuliwa kwa mabomu ya machozi tu. Click to expand... Huo ndio mwanzo wa utungu! Subiri wakati wa kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu ndo utapata uchungu kamili wa mabomu!
Daudi Mchambuzi said: matatizo ya nchi hii yanatatuliwa kwa mabomu ya machozi tu. Click to expand... Huo ndio mwanzo wa utungu! Subiri wakati wa kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu ndo utapata uchungu kamili wa mabomu!
M mshunami JF-Expert Member Joined Feb 27, 2013 Posts 4,253 Reaction score 1,945 May 21, 2015 #66 fadhiliq87 said: kitu kidogo tu UKAWA,, hizo hela wangezitoa kwa wakat nan angegoma?..... ukawa inawanyima watu usingiz Click to expand... CCM nakupenda kwa kuwa umeleta maisha bora hata kwa wanachuo wetu! Kazi kwelikweli!
fadhiliq87 said: kitu kidogo tu UKAWA,, hizo hela wangezitoa kwa wakat nan angegoma?..... ukawa inawanyima watu usingiz Click to expand... CCM nakupenda kwa kuwa umeleta maisha bora hata kwa wanachuo wetu! Kazi kwelikweli!
B BARADIGE Member Joined May 22, 2014 Posts 74 Reaction score 36 May 22, 2015 #67 Tatizo wachangia mada wapo kisiasa hivi haki ya mtu utaletaje siasa kitu kama hujui kaa kimya tu mtu hana hela unataka ale nn au yupo kwao hapo chuoni kila kitu hela utashangaa nini wakigoma
Tatizo wachangia mada wapo kisiasa hivi haki ya mtu utaletaje siasa kitu kama hujui kaa kimya tu mtu hana hela unataka ale nn au yupo kwao hapo chuoni kila kitu hela utashangaa nini wakigoma
wambagusta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 2,840 Reaction score 2,332 May 22, 2015 #68 Akili hawana bora wapingwe hata kufukuzwa wafukuzwe pumbavu zao kazi kushikwa masikio kila siku piga tu soldier
Akili hawana bora wapingwe hata kufukuzwa wafukuzwe pumbavu zao kazi kushikwa masikio kila siku piga tu soldier