Ikifika wakati wa kukata pesa waliyokukopesha wako very punctual!!!
Hii nchii hii,,,sijui tuiteje,majina yameisha
Aaaaahhh!;!; kitu cha bure siku zote kinausumbufuuu
Ukawa wameshindwa kwa Madereva sasa wamehamia kwa Wanafunzi vyuo Vikuu...
Wanapaswa kuwa wamelipwa, hao wanafunzi. Tatizo ni cash-flow na banking procedures. Ila najua fedha zimeshaanza kupelekwa. Wenzao wa SUA-SO leo walitinga HESLB na kuambiwa mambo yameanza kuwa mazuri!kunapopoma moja lina dai upinzani ndiyo chanzo yawezekana linaongea ukweli ambao likiambiwa liutete litakimbia ila naweza unga hoja mkono maana hawa wapinzani kias chake wamewafanya watu wadai haki zao bila kuogopa keep it up
Sina hakika kama unawajua wanafunzi masikini kwani hao ndio wanaumizwa sana na kuchelewa kwa "Boom". Suluhisho ni serikali kutimiza wajibu wake vinginevyo mwenye njaa atafanya lolote atakalohisi linafaa kwa wakati huo. Huna huruma wewe, hujawahi kuwa masikini - unaniudhi sana kwa mtazamo wako huu.Ndugu zanguni leo nimefatilia kwa karibu sana Mgomo wa wanachuo wa chuo kikuu cha RUCO Iringa,kutokana na ule mgomo nimegundua yafuatayo
1:Walihusika na kuandaa ule mgomo ni watu wasio wanafunzi kupitia kwa wanafunzi namaanisha msukumo wa kugoma umetokana na wanasiasa ambao wamepenyeza
siasa katika chuo kile kwa manufaa yao huku wakiwatumia watoto wa masikini wenzetu ambao naamini uongozi wa chuo lazima uwachukulie hatua za kinidhamu kwa kuhusika na mgomo huo.
2:Mgomo ule si wa wanachuo wote bali ni kakikundi fulani kenye Itikadi za kukosoa pasipo kujua wanakosoa nini,namaanisha hajui wazungumze nini na nani na wakati gani na kwa njia ipi.
USHAURI WANGU
Wanavyuo mnapokuwa vyuoni mfate kilicho wapeleka tunajua wengi mnategemea BOOM ili mjikimu na mahitaji yenu na asilimia kubwa ni masikini wenzangu sasa utakapo fukuzwa chuoni utakuwa mgeni wa nani,kumbuka kosa lako leo linaweza kughalimu maisha yako
yote.View attachment 253206pichani wanachuo wakiandamana(mwanzo wa maandamano RUCO)
Wanapaswa kuwa wamelipwa, hao wanafunzi. Tatizo ni cash-flow na banking procedures. Ila najua fedha zimeshaanza kupelekwa. Wenzao wa SUA-SO leo walitinga HESLB na kuambiwa mambo yameanza kuwa mazuri!
Ukawa wameshindwa kwa Madereva sasa wamehamia kwa Wanafunzi vyuo Vikuu...
watu wanachukulia boom kama hisani...sio hisani ni haki ya wanafunzi kupata kila muda unapofika sababu ule ni mkataba ulioingiwa wakati watu wanaanza chuo,ni mkopo kama mikopo wanayopewa wabunge na hatujawahi sikia wabunge wakilalamika kuwa wamekosa mkopo......serikali na nyie watetezi wake acheni ujinga wapeni watu haki yao
Wakipata boom kazi yao starehe tu
Huyu msemaji mkuu anajipu sio bure
hao wanafunzi hawana madai ya msingi wanasukumwa na wanasiasa
njaa kila mtu anayo mbona hata kijijini wana njaa wanavumilia------------
Msemaji mkuu
Makao makuu
Sio lumumba
Ndugu zanguni leo nimefatilia kwa karibu sana Mgomo wa wanachuo wa chuo kikuu cha RUCO Iringa,kutokana na ule mgomo nimegundua yafuatayo
1:Walihusika na kuandaa ule mgomo ni watu wasio wanafunzi kupitia kwa wanafunzi namaanisha msukumo wa kugoma umetokana na wanasiasa ambao wamepenyeza siasa katika chuo kile kwa manufaa yao huku wakiwatumia watoto wa masikini wenzetu ambao naamini uongozi wa chuo lazima uwachukulie hatua za kinidhamu kwa kuhusika na mgomo huo.
2:Mgomo ule si wa wanachuo wote bali ni kakikundi fulani kenye Itikadi za kukosoa pasipo kujua wanakosoa nini,namaanisha hajui wazungumze nini na nani na wakati gani na kwa njia ipi.
USHAURI WANGU
Wanavyuo mnapokuwa vyuoni mfate kilicho wapeleka tunajua wengi mnategemea BOOM ili mjikimu na mahitaji yenu na asilimia kubwa ni masikini wenzangu sasa utakapo fukuzwa chuoni utakuwa mgeni wa nani,kumbuka kosa lako leo linaweza kughalimu maisha yako yote.View attachment 253206pichani wanachuo wakiandamana(mwanzo wa maandamano RUCO)
Ukiwa na njaa hata kitabu hakipandi. Ila mzigo si umeshaanza kwenda! Wawe na subira!Sina hakika kama unawajua wanafunzi masikini kwani hao ndio wanaumizwa sana na kuchelewa kwa "Boom". Suluhisho ni serikali kutimiza wajibu wake vinginevyo mwenye njaa atafanya lolote atakalohisi linafaa kwa wakati huo. Huna huruma wewe, hujawahi kuwa masikini - unaniudhi sana kwa mtazamo wako huu.