Mgomo umeisha...!! Waliokufa je.........?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Ni huzuni karibia kila Mtanzania aliyeshiba utu. tunashukuru M/MUNGU mgomo umeisha, sasa vipi kuhusu wahanga wa kadhia hii iliyoletwa ama na serikali ama na madaktari(sijui). thamani ya maisha yao yaliyopotea itabebwa na nani......?
 
Tena wanahabari mtusaidie tunaomba ifanyike tathmini ya madhara yaliotokana na mgomo huo. Tungependa kujua Ndugu zetu wangapi wameppoteza maisha, ama kubakia vilema wa maisha. Nivizuri kumbukumbu sahihi zikiwekwa sahihi.
 
Back
Top Bottom