Mgomo TIcts watikisa

francisma

New Member
Oct 25, 2011
2
1
Ticts kuna mgomo toka saa moja asubuhi leo ,madai ya hisa na ongezeko la mishaara ,baadhi ya mabosi wazungu wanyanyasaji na wanajiripa mabilioni ya pesa ,
 
jamani nchi acheni tu , lakini mungu mkubwa turejee yaliyomkuta gaddafi , wazungu wanatanua nchi hii acha tu
 
That approach would have big impact...next time we should not give dogs what is holy because that is the price they pay.
 
ni kweli ticts wamezidi.mtu unafanya kazi za kuingiza mabillion ya hela lakini mwisho wa siku unalipwa laki moja na nusu hadi mbili.wale ticts walichofanya ni kugawa tenda kwa makampuni madogo madogo ambayo yanaajili watu kutokana na kazi zilizopo,hizo kampuni ndo zinanyonya watu.kwa mfano ipo kampuni inayohusiana na ukalani,nyingine ya kupakia na kupakua,nyingine usafi.na pale kinachofanyika ni kubebana tu.na kufukuzwa kupo njenje.poleni.mia
 
Hivi hapo TICTS kuna nini? Mbona mara kwa mara wanagoma? Halafu nasikia Karamagi na wenzake ndoa wanataka kuchukua hizo hisa zao. Nchi yetu hii jamani. Wafanayakazi wa TICTS msikubali haki yenu iondoke hivi hivi na natamani kwenye mashirika mengine wangekuwa na umoja kama wenu, watu wananyanyaswa wanakaa kimya tu huku wakinung'unika pembeni.
 
Ni kweli hapo makampuni haya tuliyoyabinafsisha yanamatatizo makubwa sana. Nyie wazungu wanaunyanyasaji wa hali ya juu. Inabidi serikali iwasaidie lakini serikali gani inaweza kuwasaidia hawa watu????
 
ni kweli ticts wamezidi.mtu unafanya kazi za kuingiza mabillion ya hela lakini mwisho wa siku unalipwa laki moja na nusu hadi mbili.wale ticts walichofanya ni kugawa tenda kwa makampuni madogo madogo ambayo yanaajili watu kutokana na kazi zilizopo,hizo kampuni ndo zinanyonya watu.kwa mfano ipo kampuni inayohusiana na ukalani,nyingine ya kupakia na kupakua,nyingine usafi.na pale kinachofanyika ni kubebana tu.na kufukuzwa kupo njenje.poleni.mia
Pole mzee. Kumbe unafanya kazi TICTS? mia.
 
Acha watu wajichukulie maamuzi tu kwani hakuna wa kuwasikiliza katika nchi yao wenyewe. Pengine heshima itakuja.
 
kweri unyanyasaji upo sio tu kwawahajiliwa ata hao vibarua wanafanywa kama watumwa.hangali kazi wanayofanya lashingi ya kufunga na kufungu viatu vya container,nivibarua sawa lakini ndiyo mwalipe elfu7000 kweri ?hiii kampuni ipo kwa ajiri ya watanzani au wazungu
 
Back
Top Bottom