MGOMO huu ni mwisho wa JK?

MGOMO huu ni mwisho wa JK?

Ilitakiwa iwe hivyo, kama tukivua hofu na ubinafsi, kabisa jk tunamng'oa kwa maslahi ya taifa..DR. Slaa pliiz tangaza maandamano vijana tayari damu imechemka

tulisha wagundua ninyi watu wa kasikazini, mnataka nchi yetu isitawalike. Huo urais mnaoutaka wa nini? Si msubili 2015? Na hapo hamtapata katu. Mtapiga kelele sana na kikwete hang'oki kamwe. Tena utashamgaa kesho kusikia yuko us anapunga upepo na hamumfanyi kitu.
 
Watu wanaufanya mgomo mtaji wa kisiasa! Na nadhani wangependa watu wengi zaidi wafe! Ujinga kiasi gani!!!
 
Watu wanaufanya mgomo mtaji wa kisiasa! Na nadhani wangependa watu wengi zaidi wafe! Ujinga kiasi gani!!!

na hapo ndo mimi nilianza kukichukia hiki chama cha manka, especially members wa humu wanaongea kisiasa zaidi eti mpaka wanataka jk aondoke ili iweje? Siasa kila siku kwenye hakuna. Hii ishu ingekuwa nzuri kama siasa isingepewa nafasi, lakini naudhika kuona watu wanasuppot huu mgomo ili watu waendelee kufa na mkijenge chama chenu hicho cha udini, baadhi tumewashtukia hamna lolote
 
Ni mwisho wa kiburi na ulafi wa madaktari vilaza.

Katika wale VILAZA humu jamvini wewe ndiyo wa mwisho mpk jamvini umejulikana.

Pole sana Dogo kwn inawezaikawa siyo akili yako!
Njoo humu wakati kichwa inacharge siyo unakurupuka tu kama ulivyokuja,Shwain sana!
 
Back
Top Bottom