Mgomo Azam Tv

Asante kwa taarifa
 
Asante kwa Taharifa
 
Uko sahihi kabisa. Azam watapoteza sana wateja
 
daaah kama ni hivyo hii nchi inamasheria ya ajabu sana ndio maana watu hawaji kuwekeza maana ukiwa unatoa huduma yenye quality washindani wako lazima wakutafutie figisu serikalini!!
 
Na hivi siangaliagi hizo local channels siwez gomea azam tv [emoji4]
 
Nilikuwa na wazo kama lako! Kifurushi changu kitaisha 15/08/2018 kwa kweli silipi! Sina haja tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…