GE2025 Mgombea wa Urais Chama cha AAFP: Othman Masoud hana uwezo wa kuvaa viatu hata vya chooni vya Marehemu Maalim Seif

GE2025 Mgombea wa Urais Chama cha AAFP: Othman Masoud hana uwezo wa kuvaa viatu hata vya chooni vya Marehemu Maalim Seif

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha AAFP, Said Soud Said, amemshukia mgombea wa ACT Wazalendo, Othman Masoud, akidai hana uwezo wa kufikia hata kwa mbali hadhi ya kisiasa ya marehemu Maalim Seif Sharif Hamad.

Said alitoa kauli hiyo akijibu maneno ya uchochezi na ya kubeza sheria za uchaguzi yaliyotolewa na mgombea huyo wa ACT, wakati akizungumza na wanachama wake baada ya kukabidhiwa fomu ya uteuzi kutoka ZEC mnamo Agosti 31, 2025.

 
Back
Top Bottom