Mgombea wa CUF Kinondoni

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,679
Baada ya Chadema kuvunja susio lake la chaguzi ndogo pamoja na kwamba walichosusia hakijabadilika...Ni wazi na Ukawa yote itarudi pia kwenye uchaguzi.

Napenda kufahmu CUF watamsimamisha mgombea gani pale, maana kuna tetesi Sheikh kipenzi cha watu Ponda alikuwa analitaka ilo jimbo.

Najua kwa mujibu wa mgawanyo wa majimbo wa UKAWA kinondoni ni jimbo la CUF, ila ningependa kufaham ni nani atasimamishwa kugombea kinondoni.
 
Mtoaposti mungiki
FB_IMG_15160224030644435.jpg
 
Baada ya Chadema kuvunja susio lake la chaguzi ndogo pamoja na kwamba walichosusia hakijabadilika...Ni wazi na Ukawa yote itarudi pia kwenye uchaguzi.

Napenda kufahmu CUF watamsimamisha mgombea gani pale, maana kuna tetesi Sheikh kipenzi cha watu Ponda alikuwa analitaka ilo jimbo.

Najua kwa mujibu wa mgawanyo wa majimbo wa UKAWA kinondoni ni jimbo la CUF, ila ningependa kufaham ni nani atasimamishwa kugombea kinondoni.
Lazima utambue kuwa Lipumba ameivuruga CUF,Msajili anamtambua Lipumba na ndiye atakayemsimamisha mgombea kupitia CUF.Lipumba haitaki ukawa hivyo kina Mtatiro na Maalim Seif watamsaport mgombea wa CHADEMA.
 
Mkuu achana na Lumumba huyu anaku-enjoy tu
 
Back
Top Bottom