mgombea wa chama cha,,,,, cheka kidogo

mgombea wa chama cha,,,,, cheka kidogo

barakachaplin

Senior Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
121
Reaction score
54
kuna mgombea wa chama tawala alienda dodoma kuomba kura ya kuwa raisi mambo yakawa ivi
mgombea:wananchi oyeeee.
wananchi😱yeeeh
mgombea:mkinichagua nitawatengenezea daraja,
wananchi:lakini sisi hatuna mtoo,
mgombea:na mto nitawaletea,
 
😂😂😂😂😂😂aise hatali nani huyo
 
kuna mgombea wa chama tawala alienda dodoma kuomba kura ya kuwa raisi mambo yakawa ivi
mgombea:wananchi oyeeee.
wananchi😱yeeeh
mgombea:mkinichagua nitawatengenezea daraja,
wananchi:lakini sisi hatuna mtoo,
mgombea:na mto nitawaletea,

hahahahaha! atakuwa mh.makomeo huyo
 
kuna mgombea wa chama tawala alienda dodoma kuomba kura ya kuwa raisi mambo yakawa ivi
mgombea:wananchi oyeeee.
wananchi😱yeeeh
mgombea:mkinichagua nitawatengenezea daraja,
wananchi:lakini sisi hatuna mtoo,
mgombea:na mto nitawaletea,

Na kuna mgombea mwingine wa ukiwa alisimama jukwaani na kusema mkinichagua kuwa rais nitajenga reli kwa kiwango cha lami
 
Na kuna mgombea mwingine wa ukiwa alisimama jukwaani na kusema mkinichagua kuwa rais nitajenga reli kwa kiwango cha lami

mbona nitakuwa sipandi treni...!
 
Alisema watajenga reli kwa kiwango cha lami ni huyu kada Wa chama tawala
 
Back
Top Bottom