Mgombea wa Chadema Kinondoni Salim Mwalim si mpiga kura Jimbo la Kinondoni

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Igwe wanaJF

Ndugu Salum Mwalim si mpiga kura wa Kinondoni bali Kikwajuni huko Unguja. Ni dhahiri Ndg. Mwalim hawezi kuwa mwakilishi makini kwani akili yake ipo Kikwajuni.

Hivyo wito kwa wana Kinondoni ni Mtulia tena ubunge sababu ana "connection " na wana Kinondoni.

Hivyo basi Mwalim apumzishwe ili ikifika 2020 tumuone atajisajili Jimbo gani ndipo tumtathimini.

Nawasilisha
 
Ccm kwa mtelemko mnapenda sana hamkawii kuweka pingamizi
 
Igwe wanaJF

Ndugu Salum Mwalim si mpiga kura wa Kinondoni bali Kikwajuni huko Unguja. Ni dhahiri Ndg. Mwalim hawezi kuwa mwakilishi makini kwani akili yake ipo Kikwajuni.

Hivyo wito kwa wana Kinondoni ni Mtulia tena ubunge sababu ana "connection " na wana Kinondoni.

Hivyo basi Mwalim apumzishwe ili ikifika 2020 tumuone atajisajili Jimbo gani ndipo tumtathimini.

Nawasilisha
Wakati Rais Dr. Sheini ameenda kugombea Zanzibar 2010 alikuwa mpiga kura wa wapi kama una kumbukumbu nzuri? Je alijipigia kura? Jibu ni HAPANA

Kutojiandikisha jimbo hilo sioni kama ni sababu kubwa na hasa ikiwa mtu anasababu za maana ambazo nadhani Mwalimu anazo. Hata rais wa sasa hakujiandikisha Tz nzima, ila sasa anaongoza Tz nzima na mapungufu yake hayatokani na yeye kutojiandikisha Dar au Mtwara au sehemu nyingine unayoweza kufikiri.
 
Unajiuliza then unajijjbu
 
Igwe wanaJF

Ndugu Salum Mwalim si mpiga kura wa Kinondoni bali Kikwajuni huko Unguja. Ni dhahiri Ndg. Mwalim hawezi kuwa mwakilishi makini kwani akili yake ipo Kikwajuni.

Hivyo wito kwa wana Kinondoni ni Mtulia tena ubunge sababu ana "connection " na wana Kinondoni.

Hivyo basi Mwalim apumzishwe ili ikifika 2020 tumuone atajisajili Jimbo gani ndipo tumtathimini.

Nawasilisha
Mushaanza umalaya wenu, mbona waoga kwa debe?
 
Igwe wanaJF

Ndugu Salum Mwalim si mpiga kura wa Kinondoni bali Kikwajuni huko Unguja. Ni dhahiri Ndg. Mwalim hawezi kuwa mwakilishi makini kwani akili yake ipo Kikwajuni.

Hivyo wito kwa wana Kinondoni ni Mtulia tena ubunge sababu ana "connection " na wana Kinondoni.

Hivyo basi Mwalim apumzishwe ili ikifika 2020 tumuone atajisajili Jimbo gani ndipo tumtathimini.

Nawasilisha

Kuna mtu alikuuliza kama mpiga kura wawapi?????. Je lipi lililobora, kumchagua mtu asiojiandikisha kwenye jimbo, au kumchagua mtu mliomuamini mkamchagua akawasaliti kwa kuiacha kazi, baada yamuda akarudi kuiomba kazi hiyohiyo?.

Tusiwe naharaka kuna muda wapingamizi anaweza kuwekewa kama nikosa, kama sio kosa tusubiri wakati wa kampeni tuwaulize maswali .

Siku njema.
 
Igwe wanaJF

Ndugu Salum Mwalim si mpiga kura wa Kinondoni bali Kikwajuni huko Unguja. Ni dhahiri Ndg. Mwalim hawezi kuwa mwakilishi makini kwani akili yake ipo Kikwajuni.

Hivyo wito kwa wana Kinondoni ni Mtulia tena ubunge sababu ana "connection " na wana Kinondoni.

Hivyo basi Mwalim apumzishwe ili ikifika 2020 tumuone atajisajili Jimbo gani ndipo tumtathimini.

Nawasilisha
Ccm mmekwisha
 
Back
Top Bottom