SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,974
- 75,056
<br />
<br />
Mbona NINA USHAHIDI MGOMBEA WA CHADEMA ALIKUWA ****** WA ROSTAM, YAANI ROSTAM ALIKUWA BASHA WAKE ALISHA ACHANA NAYE??? ASIJE KUTUGEUKA MBELA YA SAFARI JAMANI
Ni rahisi kabisa' hauelewi uhusiano wa siasa na maendeleo! Miaka 50 ya uhuru chini ya ccm tuna kipi? Idadi ya wasiojua kusoma inaongezeka,zaidi ya watanzania 12milion wanaishi chini ya mstari wa umasiki,madini na wanyama vinatoweka,bei ya pamba haieleweki,wananchi wanalazimishwa kuuza mazao kwa bei chee,vyp kuhusu umeme, mafuta n.k HAYA YOTE NI TAABU ZA CCM.Ufukara wako ni uzembe wako. Ni wapi na saa ngapi CCM walikunyima fursa ya kujiendeleza?
Mimi nadhani wewe una phd.....Miafrika bana! Eti jitu linajiita great thinker halafu linaishi kwa kudhani ona nilivyokupo sifa ambazo ukoo wenu mzima hakukna mwenye hata nusu yake. Hayo ndo madhara ya kuishi kwa kudhani.
Anti Ndofu,
Kweli akili yako ni masaburi,halafu jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo.
Unaandika utadhani mtoto wangu wa mwisho anaesoma kindergarten, angalia profile yangu lini nimejiunga JF, kingine nikuambie nadhani umjui vizuri Ritz. Mimi CCM na CDM wote ni takataka, mimi sio mateka wa Mbowe kama wewe
Sidhani kama atakuwa amefika hata Form FOUR, kama ndivyo basi atakuwa amepata FOUR.
Na sisi tunakufahamu wewe ni kuwadi wa Nepi mtoa ratiba za Nepi toka udanganye atafunika Arusha wewe na yeye mmekuwa kimya sana.Mbona NINA USHAHIDI MGOMBEA WA CHADEMA ALIKUWA ****** WA ROSTAM, YAANI ROSTAM ALIKUWA BASHA WAKE ALISHA ACHANA NAYE??? ASIJE KUTUGEUKA MBELA YA SAFARI JAMANI
Nasikia ni Mwalimu!
Hanachake huyo akachunge ng'ombe
Huyo ni wa sebuleni tu! Na ruzuku ataisikia tu kwenye media
Huyo ni wa sebuleni tu! Na ruzuku ataisikia tu kwenye media
Hui ndio mitazamo ya maccm
hawa matahira waLumumba si walisemaga kafukuzwa Chadema! ahsante Mungu kwani Maccm yanazidi kuumbuka siku hadi sikukawaida yenu wahafidhina
Kashindye ni jembe mungu ampe nguvu na maisha marefu. Maccm yamemtafuta sana lakin hahongeki. Sasa wamekutana katibu wake Idd Athumani kama Katibu wa cdm wa wilaya,wanamisimamo,wanajituma, wanambinu za kisayansi. 2015 ccm wajiandae kutoweka Igunga