Butola
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 2,290
- 765
Watu wanajiuliza akina mama wengine Kalenga hawakuzaa? Hawakusomesha? Ni akina Mgimwa tu ndio wenye watoto? No...
Last time i checked, hao akina Mgimwa wameshika ubunge mwaka 2010 tu, hivyo sio sahihi kusema huko Kalenga ni akina Mgimwa tu.