Nani kuwa Mgombea Urais CHADEMA 2025?

kaishebo

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
817
578
Hapana shaka CCM ni SSH:
ACT-Wazalendo ni ZZK:
CHAUMMA ni HRS:
CHADEMA ni nani?

Maoni yangu;
-Chadema wange 'vujisha' mgombea wao ili wananchi wamzoee, wampime ....kusudi, ikifika 2025 wasishtukizwe na mgombea ambaye pengine hawamuelewi vizuri tabia na uwezo wake.
 
Freeman Mbowe
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Sasa sijui unataka upewe mgombea wa cdm kwa uchaguzi gani.
 
Mtoa hoja yaani bila ya kuweka jina la CHADEMA kwenye mada yako unaona utakosa comments,acha upumbavu maana CHADEMA wana katiba yao jinsi ya kuteua wagombea wao,relax na jiulize serikali ya ccm imetumia vipi kodi yako maana kinachosikika sasa kutoka Dodoma ni wizi,ufisadi kwenye mashirika yote ya umma (refer. CAG report)
 
SSH ni Mgombea wa CCM na Chadema

Interest ya Chadema ni kupata Viti vingi vya Ubunge na Udiwani n kupata ruzuku ya kutosha
 
Hapana shaka CCM ni SSH:
ACT-Wazalendo ni ZZK:
CHAUMMA ni HRS:
CHADEMA ni nani?

Maoni yangu;
-Chadema wange 'vujisha' mgombea wao ili wananchi wamzoee, wampime ....kusudi, ikifika 2025 wasishtukizwe na mgombea ambaye pengine hawamuelewi vizuri tabia na uwezo wake.
Pasina Shaka Yoyote kwa cdm, From The Pockets and Bottom of the Heart of The Chairman Taifa 🐒

Ni Padre, Dr.Willbroad Peter Slaaa🐒

wengine wa check utaratibu mwingine..
 
Hapana shaka CCM ni SSH:
ACT-Wazalendo ni ZZK:
CHAUMMA ni HRS:
CHADEMA ni nani?

Maoni yangu;
-Chadema wange 'vujisha' mgombea wao ili wananchi wamzoee, wampime ....kusudi, ikifika 2025 wasishtukizwe na mgombea ambaye pengine hawamuelewi vizuri tabia na uwezo wake.
TUTAKUPENDEKEZA WEWE
 
Huyo SSH umemjua kwakuwa anaendelea mwanzo ulijua angekuwaga magu? Alojaribu kubeep tuu ikapokewa?
subira ni ibada...tuliaaa usiwe na kiherehere
 
Basi fanyeni mapema, nijipange....niuze kabisa nyumba yangu nipate pesa ya kuhonga wajumbe
 
Moja ya kosa kubwa la CHADEMA, ni kuruhusu kupotezwa kipindi cha JPM na kuachana na hoja ya ufisadi. UKUTA ilikuwa ni moja ya movement ambazo wangesimamia kufanikiwa kwake sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine.
 
Wampe mnyika..tupate kijana. Aliyegombea last time anafaa kwenye uanaharakati zaidi.
To me, I would vote for Mnyika
Wanasubiri makando kando ya CCM. Unaweza sikia hata Ndugai kapewa shavu!
Nawashauri this time wasichukue mtu aliyetemwa kwenye vyama vingine. Wajiamini. Wakitulia watagundua kuwa wana watu wanaofaa kupewa majukumu makubwa.
 
Back
Top Bottom