Mgombea urais wa UPDP Ndg. Fahmi Nassor Dovutwa, aendelea na Mikutano ya kampeni

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha UPDP Ndg. Fahmi Nassor Dovutwa akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya IDD vilivyopo Tunduru mjini mkoa wa Ruvuma tarehe 08/10/2015.
d1.jpg d4.jpg
d2.jpg d3.jpg
 
vipi kipaumbele chake cha kujenga kiwanda cha silaha amerudi nacho tena mwaka huu?
 
Back
Top Bottom